Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka anaitendea haki hiyo Kanda ya pwaniBoni taarifa zote anakuwa wa kwanza kuzipata na kuzitoa.
Kwani huwa sielewiAfafhali umeelewa
No ianze na mazaNatamani ianze kumdhuru huyu tumbili Peter Msigwa
na muhimu sana na midevu nae ajiandae kwasababu ya nafasi yake kwenye kunyetisha habari za mwanzo na mwisho ya songombingo hii mbaya na ya aibu sana ili kijiridhisha vyema kuhusu kama ana taarifa za hapo katikati zaidi ya zile za mwanzo na mwishoMayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni
Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Nadhani bado ni tetesi 🐼

Msigwa unamuonea tu, hana nguvu hata ya kuamrisha mgamboNatamani ianze kumdhuru huyu tumbili Peter Msigwa
uchaguzi wa Kanda si bado?Bila shaka anaitendea haki hiyo Kanda ya pwani
Yuda Iskarioti alikuwa na nguvu ya kumuamrisha Pontio ?!🐼Msigwa unamuonea tu, hana nguvu hata ya kuamrisha mgambo
Wacha kashfa kijana.Warrior wa keyboard.Waanze na Msigwa, Masauni, IGP na maza
Huwezi kuelewa kwa sasa uhusika wake lakini amehusika pakubwa.Msigwa unamuonea tu, hana nguvu hata ya kuamrisha mgambo
Anaweza asirudi huko maana maana maana au ngoja nisisemeBoniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Alimtaja Wapi na lini?Kabla ya Msigwa kumtaja mzee Kibao kuwa ni hatari wewe ulikuwa unamjua?
Wamsindikize kabisa, maana hawakomi kusema hatukuwa naeMayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni
Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Nadhani bado ni tetesi 🐼
Mzushi tu huyoAlimtaja Wapi na lini?
Inashangaza mkuuWanatusumbua bure huku wakijua fika wao ndio wahusika wakuu
Hakuna tatizo aende tuMayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni
Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni
Nadhani bado ni tetesi 🐼