Boniface Jacob: Chadema kuwapa ushirikiano Polisi ni usaliti na mzaha kwa roho za waliotekwa, kupotea na kuuawa

Boniface Jacob: Chadema kuwapa ushirikiano Polisi ni usaliti na mzaha kwa roho za waliotekwa, kupotea na kuuawa

Naam kuitwa kwa kutoa taarifa na sio kushikwa kama muhukumiwa sio Tatizo..., kama wote wangekuwa wanaitwa kwa kutoa taarifa na kufuata misingi ya sheria zinavyotaka sidhani kama tungefika hapa wala tungekuwa tunashutumiana
 
Unaitwa ukifika kituoni tu inakuwa Imeisha hiyo
Ni bora ugome kama maelezo waje wachukue ulipo.
 
Mayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni

Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni

Nadhani bado ni tetesi 🐼
na muhimu sana na midevu nae ajiandae kwasababu ya nafasi yake kwenye kunyetisha habari za mwanzo na mwisho ya songombingo hii mbaya na ya aibu sana ili kijiridhisha vyema kuhusu kama ana taarifa za hapo katikati zaidi ya zile za mwanzo na mwisho :NoGodNo:
 
Mayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni

Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni

Nadhani bado ni tetesi 🐼
Wamsindikize kabisa, maana hawakomi kusema hatukuwa nae
 
Chadema walishafanya makosa kuiamini serikali, Kama maridhiano yangehusisha kupatikana mwili wa Ben Saanane na wauaji wake au wauaji wa makada wengine haya Mambo yasingefikia hapa .
Lakini kosa jingine kubwa ni kuamini adui yao alikuwa Magufuli wakati adui yao halisi ni CCM
 
Mayor DSM Mstaafu Boniface Jacob amesema ukurasani X kwamba ametaarifiwa Kuwa Katibu mkuu wa Chadema Mh Mnyika anahitajika police Kinondoni

Boniyai anasema Mawakili wa Chadema walipigiwa simu jana na RCO ya kumuhitaji Mnyika kituoni

Nadhani bado ni tetesi 🐼
Hakuna tatizo aende tu
 
Back
Top Bottom