Pre GE2025 Boniface Jacob kurejesha fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Pwani tarehe 05/09/2024 kwa Maandamano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA hakika ni chama cha kweli watetezi wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kidemokrasia huku ushawishi wao kwa umma unavutia sana.

Kumsindikiza kwa wingi meya mstaafu Boniface Jacob leo imedhihirisha ushawishi wa chama hiki cha kisiasa kwa umma mpana
 
Mwisho wa ccm kanda ya Pwani umefika Rasmi!
 
Mwisho wa ccm kanda ya Pwani umefika Rasmi!

Sasa moto wa kutoka nyikani Ngorongoro umefika mjini Dar es Salaam na utawaka miji mingine kuamsha haki za kiraia katika kuamua mustakhabali wa taifa lao kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (ya watu) CHADEMA, hatimaye kuchukua dola iliyotekwa na chama dola kongwe ili mamlaka ya wananchi yarudi mikononi mwa raia badala ya genge la wachache ndani ya CCM kuwafanya wananchi matekaAt na wakimbizi ndani ya nchi yao.

ALUTA CONTIÑUA, MAPAMBANO YA KURUDISHA MAMLAKA KWA WANANCHI YAMEANZA.
 
Safari hii moto utawaka
 
Nasikitika sana kuona chadema inakufa taratibu.
 
Mwaisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…