ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mtu msafi ndio nani?Chawa hathubutu kumsogelea mtu msafi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu msafi ndio nani?Chawa hathubutu kumsogelea mtu msafi!
Mfano mzuri ni wewe...tazama chawa walivyokuzunguka!Mtu msafi ndio nani?
Chawa ndio kina nani?Mfano mzuri ni wewe...tazama chawa walivyokuzunguka!
Kwi Kwi Kwi! Umepigwa za Uso!Chawa ndio kina nani?
Wana kikundi chao rasmi na hawajawahi kujificha kwani wanaona fahari kujiita chawa!Chawa ndio kina nani?
Kwa hiyo wewe ni chawa wa huyo unaemuita Boni yai?Wana kikundi chao rasmi na hawajawahi kujificha kwani wanaona fahari kujiita chawa!
Mwisho wa ccm kanda ya Pwani umefika Rasmi!CHADEMA hakika ni chama cha kweli watetezi wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kidemokrasia huku ushawishi wao kwa umma unavutia sana.
Kumsindikiza kwa wingi meya mstaafu Boniface Jacob leo imedhihirisha ushawishi wa chama hiki cha kisiasa kwa umma mpana
View attachment 3087841
Mwisho wa ccm kanda ya Pwani umefika Rasmi!
Safari hii moto utawakaSasa moto wa kutoka nyikani Ngorongoro umefika mjini Dar es Salaam na utawaka miji mingine kuamsha haki za kiraia katika kuamua mustakhabali wa taifa lao kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (ya watu) CHADEMA, hatimaye kuchukua dola iliyotekwa na chama dola kongwe ili mamlaka ya wananchi yarudi mikononi mwa raia badala ya genge la wachache ndani ya CCM kuwafanya wananchi matekaAt na wakimbizi ndani ya nchi yao.
ALUTA CONTIÑUA, MAPAMBANO YA KURUDISHA MAMLAKA KWA WANANCHI YAMEANZA.
Kutoka kwenye Ukamanda mpaka udanandaMtiti wa ile Kanda umetuvuruga, Yaani mtu kahama yeye peke yake! Watu wanajiuliza hakuwa hata na wafuasi?
Mkuu, waendelee hivyo hivyo!
Mwaisa.
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.
Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda.
Maandamano hayo kabambe yataanzia Manzese, Yatapita Tandale na Kuingia Mwananyamala na Hatimaye yataishia Kinondoni Zilipo Ofisi za Kanda ya Pwani.
Soma Pia: Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Wote Mnakaribishwa.