cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kukaa kwa nywilaa tyuu, aaaaahNi shida hii nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukaa kwa nywilaa tyuu, aaaaahNi shida hii nchi
Yaani unatakiwa usijifanye mjuajiKukaa kwa nywilaa tyuu, aaaaah
Habari kama hizi muwe mnaweka naANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)
Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji.
Boni yai anauliza taarifa ya miili hii itatolewa lini? Mbona kimya?
NAOGOPA: Isije kuwa ya akina Soka, MUNGU wa mbinguni pisha kwa mbali!
Hujaona alama ya kuuliza?Kwa nn umehis ivyo? Na kipi kimekufanya uanze kuipakazia serikali?
Kwaniyo Nchi hii inawavumilia Mazezeta tu.ukijifanya roporopo
Mkuu ,unachanganya mahenge ulanga kweli ipo pia Kuna mahenge wilayani kiloloMahenge Ulanga ni moja ya eneo ambalo mkao wake "plateaus" unaovutia sana ila mlima nyani unatisha sana
Kwani katika hili, kama una akili timamu, mtuhumiwa wa kwanza ni nani? Kwa nini upewe taarifa, ukachukue miili halafu ukae kimya wakati kuna raarifa za watu kupotea? Kwa nini wasijulishwe ndugu wa waliotekwa ili wakaitazame miili hiyo kuweza kujiridhisha kuwa si miongoni mwa waliotekwa?Ulisema mpango na ukatoliki wake wote lakini kimya kisa madaraka,hii ni shutuma kuwa serikali imehusika na mauaji hayo,acha kujitia ujanja wa kuzunguka
Una uhakika samia anahusika na mauaji?Hizo ndio 4R za mama Abdul.
Kuna Mganga kazika watu kumi singidaKila mara tunasikia wahamiaji haramu wanakatwa Kila Kona ya nchi. Ukisafiri usiku Dar mpaka Iringa utasimamishwa na kukaguliwa zaidi ya mara 7.
Lakini hatujasikia watekaji wakikamatwa wakimsafirisha mtekwaji. Mtu anatekwa Dar anakutwa katavi, Dodoma n.k mbona hao watekaji hawakamatwi kama wahamiaji haramu.
Wakati maandamani ya vijana wa Chadema tunapata picha ndogo. Wakikamatwa Mbeya wengine walipelekwa makambako fasta, wengine Iringa, wengine katavi/Songwe. Sijui umeelewa.
Unapokamatwa si unatakiwa kupelekea kituo Cha karibu na ukiposhikiliwa Kisha taratibu za kupelekea kwengine Movement order itolewe? Je hao waliopelekwa taratibu zilifiatwa? Kama hapana kwa nini? Je kwa nini tusihusishe na watekaji ambao husema atakuwa kituo fulani na ukienda huko unaambiwabhayupo.
Kwenye kesi za Mbowe na wengine kuhusu Ugaidi, tulisikiwa wale makomandoo wakibadikishwa majina walipoingizwa kwenye baadhi ya mahabusu za polisi, je haiwezekaniki hiki ndio kinatumika na kufanya ndugu wasiweze kujua alipo mtuhumiwa kwa maana majina hayo hayaonekaniki kwenye register?
Nawaza TU kwa sauti, Hakuna apendae kukutwa na Msiba ila hakuna namna ya kukwepa misiba, ipo siku utakutana nao. wanaokufa kwa kuuwawa, Wana ndugu, Wana Mungu na wanaweza kuacha laana kwa waliowaatendea ubaya na ikatafuna kizazi au hata ukoo mzima.
Mama Abdul amekuwa muuaji kama Magufuli? Asubiri kitakachomkuta damu zisizo na hatia zikimlilia muumba wa mbingu na nchi.ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)
Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili hii itatolewa lini? Mbona kimya?
NAOGOPA: Isije kuwa ya akina Soka, MUNGU wa mbinguni pisha kwa mbali!
==========
Aliyekuwa Meya wa Ubungo Nov 2016~ May2020, Boniface Jacob ameandika hivi:
Kamanda Bukumbi shikamoo..!Vipi hiyo taarifa ya 23 August 2024 Kutupwa miili miwili ya vijana wawili wakiwa na chupi (boksa) wanaokadiliwa kuwa na umri chini ya miaka 30 wilaya ya Kilolo, Kata ya Mahenge, Kijiji cha Igemi ambayo askari wa Jeshi wa Polisi waliichukua baada ya kupewa taarifa na wanakijiji.Taarifa hii mtaitoa lini.? au tuendelee kuchimba chimba kupata taarifa kutoka kwa wanakijiji kisha tuitangaze wenyewe.?Wakati huu ambao Vijana wetu wamepotea ni muhimu sana kujua hao walio okotwa ni akina nani.? na wametolewa wapi hadi kuja kutupwa huko.Nipo bize Mahakamani kisutu,lakini najua hili lipo ndani ya uwezo wako.Ukishindwa nitakusaidia.
View attachment 3082155
Huyo mama kahusikaje hapo?Mama Abdul amekuwa muuaji kama Magufuli? Asubiri kitakachomkuta damu zisizo na hatia zikimlilia muumba wa mbingu na nchi.
Ni mshirikina na mchawi balaaEti tuna Spika mlokole,upuuzi mtupu
Kama mtaendelea kulalamika kupitia kwenye keyboard pasipo na nyinyi kumteka mtekaji mmoja msitegemee chochote kubadilika.Damu yao Haitaenda buree wanaohusika na kutoa amri wajiandae tuuu.
Una uhakika Samia hahusiki na mauaji?Una uhakika samia anahusika na mauaji?
Polisi wapo wengi kitengo cha watekaji wanakuja bila sare"plain -clothes police" hata huyo mganga anaweza kuwa agent wa polisi .Una uhakika samia anahusika na mauaji?
Kuna Mganga kazika watu kumi singida
Na yeye ni polisi?