Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

Boniface Jacob: Ni lini Polisi Iringa itatoa taarifa ya miili ya vijana wawili iliyookotwa Wilaya ya Kilolo?

ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)
Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji.
Boni yai anauliza taarifa ya miili hii itatolewa lini? Mbona kimya?

NAOGOPA: Isije kuwa ya akina Soka, MUNGU wa mbinguni pisha kwa mbali!
Habari kama hizi muwe mnaweka na
 
Baadae SANA aliruhusiwa kutoka akambiwa asiwe anahoji mapato na matumizi kwenye mikutano.
Hata hivyo mpaka Sasa wanamsumbua kwani wamemchomea nyumba ya kuishi
 
SIIPENDI CHADEMA, KWELI KWELI, LAKINI HUKU KUPOTEA WATU SIKO, HAKUFAI, SALA NILIYOINZA IKAMTULIZA MANGE, AKAUMWA MGONGO, NDIYO SALA HIYO HIYO NITAKAYOWAOMBEA VIONGOZI WALIOPO MADARAKANI, NA PENGINE WANAFAHAMU HAYA, NA KIBAYA WAKAKA KIMYA PENGINE NI WACHA MUNGU,, - - - ASTARAOTH, THE DARK EVIL OF NEPTUNE SHALL BE OVER THEM, LET IT BE SO, CONSUME THEM, FOR JUST A FRESH SOUP! FIAT FIAT FIAT.---(ndani ya siku 100 kuna msiba)
 
Ndio maana mtu akiniambia naomba namba yako PM sithubutu. Mambo yamebadilika kwa kweli
 
Kila mara tunasikia wahamiaji haramu wanakatwa Kila Kona ya nchi. Ukisafiri usiku Dar mpaka Iringa utasimamishwa na kukaguliwa zaidi ya mara 7.

Lakini hatujasikia watekaji wakikamatwa wakimsafirisha mtekwaji. Mtu anatekwa Dar anakutwa katavi, Dodoma n.k mbona hao watekaji hawakamatwi kama wahamiaji haramu.

Wakati maandamani ya vijana wa Chadema tunapata picha ndogo. Wakikamatwa Mbeya wengine walipelekwa makambako fasta, wengine Iringa, wengine katavi/Songwe. Sijui umeelewa.

Unapokamatwa si unatakiwa kupelekea kituo Cha karibu na ukiposhikiliwa Kisha taratibu za kupelekea kwengine Movement order itolewe? Je hao waliopelekwa taratibu zilifiatwa? Kama hapana kwa nini? Je kwa nini tusihusishe na watekaji ambao husema atakuwa kituo fulani na ukienda huko unaambiwabhayupo.

Kwenye kesi za Mbowe na wengine kuhusu Ugaidi, tulisikiwa wale makomandoo wakibadikishwa majina walipoingizwa kwenye baadhi ya mahabusu za polisi, je haiwezekaniki hiki ndio kinatumika na kufanya ndugu wasiweze kujua alipo mtuhumiwa kwa maana majina hayo hayaonekaniki kwenye register?

Nawaza TU kwa sauti, Hakuna apendae kukutwa na Msiba ila hakuna namna ya kukwepa misiba, ipo siku utakutana nao. wanaokufa kwa kuuwawa, Wana ndugu, Wana Mungu na wanaweza kuacha laana kwa waliowaatendea ubaya na ikatafuna kizazi au hata ukoo mzima.
 
Ulisema mpango na ukatoliki wake wote lakini kimya kisa madaraka,hii ni shutuma kuwa serikali imehusika na mauaji hayo,acha kujitia ujanja wa kuzunguka
Kwani katika hili, kama una akili timamu, mtuhumiwa wa kwanza ni nani? Kwa nini upewe taarifa, ukachukue miili halafu ukae kimya wakati kuna raarifa za watu kupotea? Kwa nini wasijulishwe ndugu wa waliotekwa ili wakaitazame miili hiyo kuweza kujiridhisha kuwa si miongoni mwa waliotekwa?
 
Kunapo kundi la wahalifu wakishafanya yao. Halafu wanapotokea watu wanatumia nguvu nyingi sana kwenye media ku-divert attention kutoka kwao na kupeleka lawama sehemu nyingine inawapa nguvu sana wahalifu kuendelea na yao.

Watu waliotekwa huko CDM hawazidi wawili, Iła maiti kila siku zinaokotwa. Kasi ya mauaji Tanzania inatisha na utoto wa CDM kila tukio kulihusisha polisi inafanya kazi yao kuwa ngumu sana kupata ushirikiano na wananchi.

Baadhi ya viongozi wa CDM wanautoto mwingi sana na hawaelewi mwisho wa mipaka yao.
 
Hizo ndio 4R za mama Abdul.
Una uhakika samia anahusika na mauaji?
Kila mara tunasikia wahamiaji haramu wanakatwa Kila Kona ya nchi. Ukisafiri usiku Dar mpaka Iringa utasimamishwa na kukaguliwa zaidi ya mara 7.

Lakini hatujasikia watekaji wakikamatwa wakimsafirisha mtekwaji. Mtu anatekwa Dar anakutwa katavi, Dodoma n.k mbona hao watekaji hawakamatwi kama wahamiaji haramu.

Wakati maandamani ya vijana wa Chadema tunapata picha ndogo. Wakikamatwa Mbeya wengine walipelekwa makambako fasta, wengine Iringa, wengine katavi/Songwe. Sijui umeelewa.

Unapokamatwa si unatakiwa kupelekea kituo Cha karibu na ukiposhikiliwa Kisha taratibu za kupelekea kwengine Movement order itolewe? Je hao waliopelekwa taratibu zilifiatwa? Kama hapana kwa nini? Je kwa nini tusihusishe na watekaji ambao husema atakuwa kituo fulani na ukienda huko unaambiwabhayupo.

Kwenye kesi za Mbowe na wengine kuhusu Ugaidi, tulisikiwa wale makomandoo wakibadikishwa majina walipoingizwa kwenye baadhi ya mahabusu za polisi, je haiwezekaniki hiki ndio kinatumika na kufanya ndugu wasiweze kujua alipo mtuhumiwa kwa maana majina hayo hayaonekaniki kwenye register?

Nawaza TU kwa sauti, Hakuna apendae kukutwa na Msiba ila hakuna namna ya kukwepa misiba, ipo siku utakutana nao. wanaokufa kwa kuuwawa, Wana ndugu, Wana Mungu na wanaweza kuacha laana kwa waliowaatendea ubaya na ikatafuna kizazi au hata ukoo mzima.
Kuna Mganga kazika watu kumi singida

Na yeye ni polisi?
 
ANARIPOTI BONIYAI (BONIFASI JACOB)

Tarehe 23/8/2024 miili 2 ya vijana wanaokadiriwa kuwa na chini ya umri wa miaka 30 ikiwa na boksa imeokotwa wilayani Kilolo kata ya mahenge Kijiji Igemi ambayo askari polis waliichukuabaada ya kupewa taarifa na wana kijiji. Boni yai anauliza taarifa ya miili hii itatolewa lini? Mbona kimya?

NAOGOPA: Isije kuwa ya akina Soka, MUNGU wa mbinguni pisha kwa mbali!

==========

Aliyekuwa Meya wa Ubungo Nov 2016~ May2020, Boniface Jacob ameandika hivi:

Kamanda Bukumbi shikamoo..!Vipi hiyo taarifa ya 23 August 2024 Kutupwa miili miwili ya vijana wawili wakiwa na chupi (boksa) wanaokadiliwa kuwa na umri chini ya miaka 30 wilaya ya Kilolo, Kata ya Mahenge, Kijiji cha Igemi ambayo askari wa Jeshi wa Polisi waliichukua baada ya kupewa taarifa na wanakijiji.Taarifa hii mtaitoa lini.? au tuendelee kuchimba chimba kupata taarifa kutoka kwa wanakijiji kisha tuitangaze wenyewe.?Wakati huu ambao Vijana wetu wamepotea ni muhimu sana kujua hao walio okotwa ni akina nani.? na wametolewa wapi hadi kuja kutupwa huko.Nipo bize Mahakamani kisutu,lakini najua hili lipo ndani ya uwezo wako.Ukishindwa nitakusaidia.

View attachment 3082155
Mama Abdul amekuwa muuaji kama Magufuli? Asubiri kitakachomkuta damu zisizo na hatia zikimlilia muumba wa mbingu na nchi.
 
Una uhakika samia anahusika na mauaji?
Una uhakika Samia hahusiki na mauaji?
Una uhakika samia anahusika na mauaji?

Kuna Mganga kazika watu kumi singida

Na yeye ni polisi?
Polisi wapo wengi kitengo cha watekaji wanakuja bila sare"plain -clothes police" hata huyo mganga anaweza kuwa agent wa polisi .

Tumeona task force ya polisi inayoteka ina hadi marasta hivyo haiondoi uhusika wa huyo mganga.
 
Back
Top Bottom