Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Boniface Jacob: Polisi walioua Mlinzi wa Bar ya Boardroom Sinza wadaiwa kutumwa na RC Chalamila kukamata Wanaojiuza

Ukigeuka hivi unakutana na gigy
Ukiugeuka huku mara mtu kaingizwa chupa
Ukigeuka kule mtu kafa kisa machangudoa
Bado mambo ya makonda
Bado mambo ya chongolo

Yaan nchi imechafuka hivyo hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna polisi mmoja alinikuta nje (parking) ktk moja ya Bar za Sinza, akanifata et unasimama hapa we kibaka.

Nilimwambia maneno machache tu..

"Kama anajimudu anifate". Kilichoendelea Siri yangu, kuna muda inabidi busara ikae pembeni kdg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kujitetea kijinga huko, kwani wakitumwa wakauwe walinzi?
Kuna watu wakipewa madaraka wanaona wameuvua ubinadamu na kuwa juu ya binadamu wote.
Chalamila, ukifuatilia historia yake, si ajabu imejaa uchafu mwingi. Leo anaona amekuwa mtakatifu kiasi cha kuwasakama hao akina dada poa kwa mtutu wa bunduki.

Chalamila akiwa RC Mbeya, siku Magufuli alivyokwenda Mbeya, alitumia muda mwingi kumsifia mkurugenzi (dada), na Magufuli akamwambia Chalamila, 'nakemea hilo pepo lako la uzinzi'. Alisema hayo kwa vile aliijua tabia yake.

Kuna majitu Samia alijivua nayo lakini ameharibu kuyarudisha tena, kiasi cha kujivika tena uchafu.
 
Aondolewe haraka apelekwe kwengine huko jiji litakua limeshamshinda
Chalamila ana utaahira fulani. Muangalie vizuri kichwa na sura.

Halafu anaonekana amekulia kwenye wimbi la ufukara ule wa kulalia vibama na hakutegemea kama atapewa jiji kubwa la dar kuongoza.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Mshahara wa dhambi ni mauti,ukahaba nao ni tatizo
Wewe unaona ukahaba tu kuwa ndiyo dhambi siyo?

Vipi za kwako wewe za wizi, uzinzi, uasherati, jambazi na msengenyaji na zingine nyingi tu ulizonazo?

Je hizo zako sio dhambi siyo? Nani aje kuwasaka nyie na kuwapiga risasi kwa dhambi zako hizo?

Au furaha na raha yako wewe ni kuona dhambi za wenzako tu huku wewe na kiburi chako ukijihesabia haki?

Acha kuhukumu wenzako. Jihukumu wewe kwanza na udhaifu na makosa yako mengi ndipo uwahukumu wengine..!!

Fikiri kwanza kabla ya kusema au kuandika chochote!!
 
SIYO KWELI HUO NI UONGO MKUBWA!!!
HUYO POLISI MWEZI ULIOPITA ILITOKEA WAKATI TUKIWA KWENYE DALADALA YA MAKUMBUSHO KUELEKEA STESHENI MAENEO YA KARIBIA NA MWANANYAMALA HOSPITAL DEREVA WA DALADALA ALISIMAMISHA ILI MTU AVUKE LAKINI BADALA YAKE HAO JAMAA WAKA OVERTAKE WAKASIMAMISHA DALADALA.

AKATOKA HUYO ASKARI, WAWILI WAMEVAA SARE NA MMOJA KIRAIA.. AKAANZA KUMTUKANA MATUSI YA NGUONI DEREVA IKABIDI DEREVA AOMBE TU MSAMAHA MAANA JAMAA ALIENDA KUCHUKUA BUNDUKI, TUKASHUSHWA ARIBIRIA WOTE KWENYE DALADALA.
ALIMKAMATA DEREVA NA KONDA WAKE AKIWA AMEWASHIKIA BUNDUKI.

INAONEKANA NI TABIA YAKE KUTISHIA RAIA NA MUNGU AMEMUUMBUA!!

ANAONEKANA ANA CHANGAMOTO YA AFYA YA AKILI!!
 
Back
Top Bottom