cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mjomba ako nae hana kazi ya kufanya hapo Ilala city?Weeh mwache mjomba wangu
Wao wamekutwa kwenye bizinez zao
Ye hahusiki,hajatuma mtu apigwe risasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjomba ako nae hana kazi ya kufanya hapo Ilala city?Weeh mwache mjomba wangu
Wao wamekutwa kwenye bizinez zao
Ye hahusiki,hajatuma mtu apigwe risasi
Afu wana stress za maisha mnoo.Kila siku nasema mipolisi haswa ya nchi hii ni mijitu ya hovyo mnoo, hata kama nduguyo kaa nae mbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukigeuka hivi unakutana na gigy
Ukiugeuka huku mara mtu kaingizwa chupa
Ukigeuka kule mtu kafa kisa machangudoa
Bado mambo ya makonda
Bado mambo ya chongolo
Yaan nchi imechafuka hivyo hovyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna polisi mmoja alinikuta nje (parking) ktk moja ya Bar za Sinza, akanifata et unasimama hapa we kibaka.
Nilimwambia maneno machache tu..
"Kama anajimudu anifate". Kilichoendelea Siri yangu, kuna muda inabidi busara ikae pembeni kdg
Kuna watu wakipewa madaraka wanaona wameuvua ubinadamu na kuwa juu ya binadamu wote.Kujitetea kijinga huko, kwani wakitumwa wakauwe walinzi?
Chalamila ana utaahira fulani. Muangalie vizuri kichwa na sura.Aondolewe haraka apelekwe kwengine huko jiji litakua limeshamshinda
Jibu zuri sana mkuuKamuulize Mama yako,
Well said !!!Kamuulize Mama yako,
Hujageuka huku unakutana na MISSO MISONDO..Ukigeuka hivi unakutana na gigy
Ukiugeuka huku mara mtu kaingizwa chupa
Ukigeuka kule mtu kafa kisa machangudoa
Bado mambo ya makonda
Bado mambo ya chongolo
Yaan nchi imechafuka hivyo hovyo
Wewe unaona ukahaba tu kuwa ndiyo dhambi siyo?Mshahara wa dhambi ni mauti,ukahaba nao ni tatizo
Kwa kweli.. 😂🤣Afu wana stress za maisha mnoo.
Sana tuMheshimiwa analikoka!?
Unakosa hata kufuatilia Mambo ya palestinaHujageuka huku unakutana na MISSO MISONDO..