Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

Obvious ana baraka toka juu kabisa, kutoka Serikalini, Polisi, Usalama na wote wenye mamlaka anaaminika na anapewa kazi ngumu. Anaaminiwa kutekeleza operesheni yoyote muhimu kwa viongozi.

Duh! CV yake imeshiba kwenye hiyo kazi anayofanya.

Hatari kabisa.
 
Sure 100%
Obvious ana baraka toka juu kabisa, kutoka Serikalini, Polisi, Usalama na wote wenye mamlaka anaaminika na anapewa kazi ngumu. Anaaminiwa kutekeleza operesheni yoyote muhimu kwa viongozi.
nailed it ! Kwa kifupi hata walioko nje ya Tanzania kuna mikakati ya kuwanasa
Obvious ana baraka toka juu kabisa, kutoka Serikalini, Polisi, Usalama na wote wenye mamlaka anaaminika na anapewa kazi ngumu. Anaaminiwa kutekeleza operesheni yoyote muhimu kwa viongozi.
 
Duuu huko mbinguni sijui atakuwa na nafasi ipi. Atakuwa ameua watu wengi sana kama hii taarifa ni ya ukweli.
 
Wakitaka ukombozi wa kweli wa jeshi letu limejaa wahuni sana

Wanatakiwa ifanywe reshuffle Kama alivyofanya Nyerere kufuta jeshi lote la Polis na usalama na la wananchi na kuanza upya !

Mafwele ni muuaji
Asante kwa neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…