Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: Anayemshikilia wakili mwenzetu Tundu Lissu atawajibika binafsi kwa Madhara yoyote atakayopata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama ni "kweli" Abdul na Msigwa walitaka kumhonga Lissu ajiunge na Fisiemu basi hii ni moja ya sababu kubwa ya kumkamata
 
PEOPLE'S POWER!!!✌️✌️✌️NO HATE NO FEAR!!
 
Stupid
 
Mabumunda yamewashikilia with 2 statement gongana
Sikujua kua hawa jamaa ni mabumunda kiasi hiki.
Nilikua namshanga MALISA anapowaita.
Ila ni bora bumunda unaweza kula na kushiba
 
njoo utiwe nguvuni pia pamoja na magenge mengine ya wahalifu mahabusu, acha kubwekabweka na kupiga mayowe nyuma ya keyboard haina maana yoyote
 
Ndyomaana nilikataa kazi ya upolisi baada ya ku graduate, nilijua ni kazi ya kitumwa na kutekeleza au kubeba dhambi za wanasiasa.
Uko sahihi.

Hata mimi juzi, kuna watu walitaka kunishawishi niombe, nikakataa kwa sababu nikazi ya kishamba sana ambayo haizingatii proffesional standard za hao mapolisi.

Hata kama uko na moyo safi vipi, huwezi kutenda haki kwasababu ya mifumo iliopo
 
Kwa hiyo yeye kamuona Lissu tu, ndio maana nasema TLS haina Rais
 
WEwe, amka unaota!!
 
Kajunjumele Mwabukusi....

Ukikutana na mnyakyusa bandidu ni bandidu tu.... kwenye hii generation hakuna mwamba kama Mwabukusi, huyu jamaa hacheki na ccm kabisa yaani akiwafoke ccm anawafokea km mwalimu wa nidhamu anavyowafokea form one.
 
Kweli kabisa mkuu, kibaya zaidi ni kutumika kutekeleza machafu ya wanasiasa na kuwanufaisha wao, huku wewe ukibaki na shida zako.
 
Yeye anamkumbuka wakili mwenzao tu? Hao wengine wakafie mbali, au?
TLS inapaswa kusimamia sheria na haki kwa watanzania wote bila kuwabagua. Kama inamsimamia tundu lisu peke yake na viongozi wengine wa chadema kuachwa wajisimamie, siku tutakapokamatwa sisi tusio na chama itakuwaje?
 
Safi sana, watanzania na wadau wengine wanatakiwa kuiunga mkono CHADEMA na TLS badala ya kuwa watazamaji.

Umma mpana zaidi ukiingia katika mapambano ya haki, demokrasia na maendeleo ya watu ndipo serikali inayoongozwa na chama dola kongwe masikio yake yatafunguka na kupata ujumbe.

Hili la umma mpana na wadau wengine wakiwa ni watazamaji wanao umia mioyoni bila kupaza sauti zao, basi wajue wataendelea kutekwa, kupata huduma mbaya za afya, elimu huku serikali ikiwapuuza

Nguvu ya Umma yaani Mass Action kutoka kwa kila mtanzania na wadau wa taasisi za haki, vyombo vya habari, maandamano n.k ndiyo yatachagiza serikali hii iliyopo madarakani kubadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…