Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: CCM wanamnadi Samia kama mgombea wao, nini kinawazuia Upinzani kumnadi Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema;

Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM, sisi wengine tusio na upande ndani ya vyama lakini tunajua Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mkiti CHADEMA kuwa ni mweledi, na anafaa kuwa mgombea Urais kwa nchi hii, kwanini tusiandike maombi kwa CHADEMA tukiwaomba watupe Tundu Lissu ili tumnadi mbele ya Watanzania.

“Mimi ninataka kuuliza swali sitaki hata tuzunguke pembeni, kitu gani kinatuzuia watu wote wenye akili timamu kusema Tundu Lissu @TunduALissu ndiye mgombea wetu atakayeshika bendera kutuongoza sasa, kitu gani kinatuzuia kama siyo ubinafsi? Nani asiyejua kwamba Tundu Lissu ndiye mtu anayefaa kwa nafasi ile? Ni kwa sababu tu ya ubinafsi na biashara.

Mimi nilikuwa ninatarajia kusiwepo chama cha upinzani cha kwenda Zanzibar kule aachiwe ACT na kwa huku Bara aliyejitambua kidogo aachiwe nafasi awe CHADEMA, hao wengine wagawiwe vipande vidogovidogo kujiimarisha.

“Kwenye makundi yote ya kiharakati, yenye akili timamu tuanze kumnadi Tundu Lissu lakini ni ajabu hata CHADEMA @ChademaTz hili hawalioni, wanapiga tu danadana na nyinyi wadau na Wanachadema mpo hapa hamsemi ukweli kuwaambia viongozi wenu"

Mgombea urais wa upinzani anatakiwa walau awe na miezi 22 mpaka 23 ya kujinadi kabla ya tarehe ya uchaguzi.

— Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi.
Kabisa
 
Ajikite kufanya kazi ya TLS na ya CDM awaachie CDM.

Kama bosi wa TLS anachopaswa kufanya ni kukemea kampeni kabla ya muda na hata kuchukua hatua za kisheria kama zipo.
Hayo aliyazungumza kabla hajawa rais wa TLS. Mleta mada anasafiria kwenye ule ukweli kwamba ' mtaji mkubwa wa ccm ni ujinga wa waTz'
 
Kwahiyo sisi wananchi ambao tunamtaka Rungwe tuitambue TLS kama tawi la mpinzani wetu maana Rais wa TLS support yake ipo kwa lisu?
Na wewe toa sababu zako kwa nini Rungwe na sio Lissu
 
Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema;

Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM, sisi wengine tusio na upande ndani ya vyama lakini tunajua Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mkiti CHADEMA kuwa ni mweledi, na anafaa kuwa mgombea Urais kwa nchi hii, kwanini tusiandike maombi kwa CHADEMA tukiwaomba watupe Tundu Lissu ili tumnadi mbele ya Watanzania.

“Mimi ninataka kuuliza swali sitaki hata tuzunguke pembeni, kitu gani kinatuzuia watu wote wenye akili timamu kusema Tundu Lissu @TunduALissu ndiye mgombea wetu atakayeshika bendera kutuongoza sasa, kitu gani kinatuzuia kama siyo ubinafsi? Nani asiyejua kwamba Tundu Lissu ndiye mtu anayefaa kwa nafasi ile? Ni kwa sababu tu ya ubinafsi na biashara.

Mimi nilikuwa ninatarajia kusiwepo chama cha upinzani cha kwenda Zanzibar kule aachiwe ACT na kwa huku Bara aliyejitambua kidogo aachiwe nafasi awe CHADEMA, hao wengine wagawiwe vipande vidogovidogo kujiimarisha.

“Kwenye makundi yote ya kiharakati, yenye akili timamu tuanze kumnadi Tundu Lissu lakini ni ajabu hata CHADEMA @ChademaTz hili hawalioni, wanapiga tu danadana na nyinyi wadau na Wanachadema mpo hapa hamsemi ukweli kuwaambia viongozi wenu"

Mgombea urais wa upinzani anatakiwa walau awe na miezi 22 mpaka 23 ya kujinadi kabla ya tarehe ya uchaguzi.

— Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi.
Yuko sahihi ila siasa ni sayansi
 
Na wewe toa sababu zako kwa nini Rungwe na sio Lissu
Hayo ni mabishano ya kisiasa ubora wa Rungwe natakiwa nimjibu mtu wa Ccm au Chadema na siyo TLS, TLS ni taasisi inayotakiwa kukimbiliwa na kila mtu haitakiwi kuonyesha interest upande mmoja Mwabukusi hapo amefeli
 
Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema;

Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM, sisi wengine tusio na upande ndani ya vyama lakini tunajua Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mkiti CHADEMA kuwa ni mweledi, na anafaa kuwa mgombea Urais kwa nchi hii, kwanini tusiandike maombi kwa CHADEMA tukiwaomba watupe Tundu Lissu ili tumnadi mbele ya Watanzania.

“Mimi ninataka kuuliza swali sitaki hata tuzunguke pembeni, kitu gani kinatuzuia watu wote wenye akili timamu kusema Tundu Lissu @TunduALissu ndiye mgombea wetu atakayeshika bendera kutuongoza sasa, kitu gani kinatuzuia kama siyo ubinafsi? Nani asiyejua kwamba Tundu Lissu ndiye mtu anayefaa kwa nafasi ile? Ni kwa sababu tu ya ubinafsi na biashara.

Mimi nilikuwa ninatarajia kusiwepo chama cha upinzani cha kwenda Zanzibar kule aachiwe ACT na kwa huku Bara aliyejitambua kidogo aachiwe nafasi awe CHADEMA, hao wengine wagawiwe vipande vidogovidogo kujiimarisha.

“Kwenye makundi yote ya kiharakati, yenye akili timamu tuanze kumnadi Tundu Lissu lakini ni ajabu hata CHADEMA @ChademaTz hili hawalioni, wanapiga tu danadana na nyinyi wadau na Wanachadema mpo hapa hamsemi ukweli kuwaambia viongozi wenu"

Mgombea urais wa upinzani anatakiwa walau awe na miezi 22 mpaka 23 ya kujinadi kabla ya tarehe ya uchaguzi.

— Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi.
Ukabila na ukanda ndo unawagharimu.
 
Kwanini unamnukuu kama rais wa TLS kwa kauli aliyoiongea kabla hajawa kwenye hiyo nafasi?
Ninyi ndiyo mkiambiwa mna sign tu mikataba bila kuelewa ina maanisha nini au athari zake mnaanza kulalamika kuwa mnatukanwa.
 
Kama Chadema wanataka kushindwa uchaguzi vibaya wampe lissu nafasi ya kugombea!
Lissu Hana vision ya Kisiasa,yeye ni mwanaharakati bobezi tu.Anachojua ni kuikosoa tu Serikali na kufanya personal attacks kwa wanasiasa wenzake.
Aheri ya Freeman,tunajua akishinda Utawala wa Majimbo utarudi!
Kila eneo litajibeba kwa Rasilimali zake.Na Utawala wa Kijimbo wenye nguvu.
Huu mpango wa Mbowe ni mzuri sanaa!
Nchi itakimbia kwa Kasi kwenye maendeleo!
Angalia mfano GEITA!
Dhahabu yoote waliyonayo inayochimbwa hapo kwao,lakini hapafananii!
Pamechokaa!
Angalia mtwara na Lindi,Raia wako hoe hae..Kuna Bandari za Kina kirefu na Gesi ya kutosha!
Kila eneo litatumia Rasilimali zake kujiinua,Serikali inachukua asilimia kadhaa za Mapato kwa ajili ya Uendeshaji wake!
Huu ni MPANGO halisia,sio mfumo wa sasa wa kunufaisha matumbo ya watu wengine.
CCM mfumo wake ni wa Mapenzi ya mshumaa.
Mtu MAFIA kama Freeman hawezi kufanya Biashara ya kutom.ba moto na kuungua mavuzi.
I will pick Freeman a thousand times,sio Roporopo kama huyo Lissu.
System haiwezi kumkubali mtu asiyetabirika.
Walijaribu kwa Magufuli kilichowapata wanakijua wenyewe.
We jamaa maneno mengi lakini unashindwa kutambua kuwa MAJIMBO NI SERA YA CHADEMA na kiongozi yeyote atakayepeperusha bendera ya chama cha demokrasia na maendeleo ni lazima aifuate.
 
Katika kosa kubwa ambalo Chadema watalijutia na kuwapoteza dila katika siasa za Tanzania wafanye hivyo kwa February
Huyo aliyesimamia mchakato wa kutunga na kupitisha sheria kandamizi zilizoipa serikali na nguvu ya kudhibiti watanzania na wapinzani? Aliyeongoza mchakato wa kuharibu matokeo ya uchaguzi?
 
Ukiwa kiongozi wa Taasisi yoyote utakachoongea mbele ya hadhira kina reflect msimamo wa taasisi unayoiongoza ndo maana viongozi wa taasisi huwa hawaropoki wanalifahamu hilo.
Vipi Lissu alivyokuwa rais TLS, hakuwa akizungumzia siasa pia? Je kila alichokizungumza kili-reflect msimamo wa TLS?
 
Kwanini unamnukuu kama rais wa TLS kwa kauli aliyoiongea kabla hajawa kwenye hiyo nafasi?
Ninyi ndiyo mkiambiwa mna sign tu mikataba bila kuelewa ina maanisha nini au athari zake mnaanza kulalamika kuwa mnatukanwa.
Kwa hiyo leo ulitaka nimtaje kwa cheo gani kama sio rais wa TLS
 
Vipi Lissu alivyokuwa rais TLS, hakuwa akizungumzia siasa pia? Je kila alichokizungumza kili-reflect msimamo wa TLS?
Kama zipo hata yeye alikua anakosea hivyo hivyo , na alichokisema kilikua kina reflect msimamo wa TLS
 
Back
Top Bottom