Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: CCM wanamnadi Samia kama mgombea wao, nini kinawazuia Upinzani kumnadi Lissu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kabisa
 
Ajikite kufanya kazi ya TLS na ya CDM awaachie CDM.

Kama bosi wa TLS anachopaswa kufanya ni kukemea kampeni kabla ya muda na hata kuchukua hatua za kisheria kama zipo.
Hayo aliyazungumza kabla hajawa rais wa TLS. Mleta mada anasafiria kwenye ule ukweli kwamba ' mtaji mkubwa wa ccm ni ujinga wa waTz'
 
Kwahiyo sisi wananchi ambao tunamtaka Rungwe tuitambue TLS kama tawi la mpinzani wetu maana Rais wa TLS support yake ipo kwa lisu?
Na wewe toa sababu zako kwa nini Rungwe na sio Lissu
 
Yuko sahihi ila siasa ni sayansi
 
Na wewe toa sababu zako kwa nini Rungwe na sio Lissu
Hayo ni mabishano ya kisiasa ubora wa Rungwe natakiwa nimjibu mtu wa Ccm au Chadema na siyo TLS, TLS ni taasisi inayotakiwa kukimbiliwa na kila mtu haitakiwi kuonyesha interest upande mmoja Mwabukusi hapo amefeli
 
Ukabila na ukanda ndo unawagharimu.
 
Kwanini unamnukuu kama rais wa TLS kwa kauli aliyoiongea kabla hajawa kwenye hiyo nafasi?
Ninyi ndiyo mkiambiwa mna sign tu mikataba bila kuelewa ina maanisha nini au athari zake mnaanza kulalamika kuwa mnatukanwa.
 
We jamaa maneno mengi lakini unashindwa kutambua kuwa MAJIMBO NI SERA YA CHADEMA na kiongozi yeyote atakayepeperusha bendera ya chama cha demokrasia na maendeleo ni lazima aifuate.
 
Katika kosa kubwa ambalo Chadema watalijutia na kuwapoteza dila katika siasa za Tanzania wafanye hivyo kwa February
Huyo aliyesimamia mchakato wa kutunga na kupitisha sheria kandamizi zilizoipa serikali na nguvu ya kudhibiti watanzania na wapinzani? Aliyeongoza mchakato wa kuharibu matokeo ya uchaguzi?
 
Ukiwa kiongozi wa Taasisi yoyote utakachoongea mbele ya hadhira kina reflect msimamo wa taasisi unayoiongoza ndo maana viongozi wa taasisi huwa hawaropoki wanalifahamu hilo.
Vipi Lissu alivyokuwa rais TLS, hakuwa akizungumzia siasa pia? Je kila alichokizungumza kili-reflect msimamo wa TLS?
 
Kwanini unamnukuu kama rais wa TLS kwa kauli aliyoiongea kabla hajawa kwenye hiyo nafasi?
Ninyi ndiyo mkiambiwa mna sign tu mikataba bila kuelewa ina maanisha nini au athari zake mnaanza kulalamika kuwa mnatukanwa.
Kwa hiyo leo ulitaka nimtaje kwa cheo gani kama sio rais wa TLS
 
Vipi Lissu alivyokuwa rais TLS, hakuwa akizungumzia siasa pia? Je kila alichokizungumza kili-reflect msimamo wa TLS?
Kama zipo hata yeye alikua anakosea hivyo hivyo , na alichokisema kilikua kina reflect msimamo wa TLS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…