Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

HV wee lepopom lini utakuwa na akili unakuja kumtukana tolu alfu member mwandamizi kumbe ndio maan unachezeage ban ..

Wee Ni mjinga San kiwango Cha mwisho nasema utubu matusi uliyoyaboromosha hapa ktk Uzi wangu wa mafuta ya mwamposa

Vinginevyo tutakupaka mafuta siku Moja

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sindano yangu imepenya Mifupani.
 
Haiwezekani uwe na waumini wengi vile na sadaka zao zote wanazokupa haujajenga kanisa hata zahanati Wala shule. Wanaosali kwa Mwamposa wamechagua maisha ya ajabu sana. Nota Bene: huu ni mtazamo wangu binafsi sitaki majungu.
Akijenga shule mnalalamika kuwa amejenga kwa pesa zetu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tuliza hiyo kitu yako aiseee nikitolewa utapata dona ukale na umpendaye?
Admin hana akili kama zako.
Mkielezwa ukweli mnaanza kulialia.
Ila mkuu kashfa ulizotoa na matusi siyo sawa futa haya matusi mkuu uwez mlala member hapa na mama ake umefika mbali Sana kwa Hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo imani mnaiweka kwenye kukanyaga mafuta, kwa mwamposa au kwa nani? maana kwenye haya maswala ya imani inabidi tuwekane sawa watu wasije kujikuta wamepigwa.
 
Kwa hiyo imani mnaiweka kwenye kukanyaga mafuta, kwa mwamposa au kwa nani? maana kwenye haya maswala ya imani inabidi tuwekane sawa watu wasije kujikuta wamepigwa.
Imani tunaweka kwenye mafuta ambayo ameombea na nabii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hilo tangazo ni la kuwaokota ili muende...na sijui sasa unalalamika nini na hapo tayari unamtambua kama Nabii siju Mtumishi n.k...kubali tu kila unachokutana nacho.

Mimi ninachoamini ni kuwa wanachowazidi wengine hao ni uwezo tu wa kuongea maneno mengi...sifa ambazo hata Madalali wengi wanazo...zaidi ya hapo yeye ni kama wewe tu hakuna baraka zozote mnapewa hapo.
 
Back
Top Bottom