My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
Uzi ushapata mpasuko,admini tunaomba huyu jamaa aleft umu[emoji1666]Ni kweli mm malaya maana nilikunyandua ww na maza yako.
Sina ufukara wala utajiri labda kama ww ni fukara njoo inbox nikusaidie pesa ya kula na mumeo.
Sindano yangu imepenya Mifupani.HV wee lepopom lini utakuwa na akili unakuja kumtukana tolu alfu member mwandamizi kumbe ndio maan unachezeage ban ..
Wee Ni mjinga San kiwango Cha mwisho nasema utubu matusi uliyoyaboromosha hapa ktk Uzi wangu wa mafuta ya mwamposa
Vinginevyo tutakupaka mafuta siku Moja
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Uzi ushapata mpasuko,admini tunaomba huyu jamaa aleft umu[emoji1666]
Akijenga shule mnalalamika kuwa amejenga kwa pesa zetuHaiwezekani uwe na waumini wengi vile na sadaka zao zote wanazokupa haujajenga kanisa hata zahanati Wala shule. Wanaosali kwa Mwamposa wamechagua maisha ya ajabu sana. Nota Bene: huu ni mtazamo wangu binafsi sitaki majungu.
Kujipaka na kunuiaYanasaidia nin hayo mafuta na maj?
Kaka usimsapoti lepopoma lepopoma ako na frustrations s nyingiKweli kabisa
Watakukama wakupake mafuta one daySindano yangu imepenya Mifupani.
Ila mkuu kashfa ulizotoa na matusi siyo sawa futa haya matusi mkuu uwez mlala member hapa na mama ake umefika mbali Sana kwa HiloTuliza hiyo kitu yako aiseee nikitolewa utapata dona ukale na umpendaye?
Admin hana akili kama zako.
Mkielezwa ukweli mnaanza kulialia.
No sijamuita tapeli namuepusha asiitwe tapeli na watu wasio muaminiKo unasemaje ni nabii wa kweli na unamwita tapeli
Tatizo ametanga na amekuwa akitangaza ktk tangazo lake la redio kuwa mtume atatoa mafuta bureeeeyeye anayatoa wapi awagawie bure.....jifunze kupokea na kutoa.......
Kwa hiyo imani mnaiweka kwenye kukanyaga mafuta, kwa mwamposa au kwa nani? maana kwenye haya maswala ya imani inabidi tuwekane sawa watu wasije kujikuta wamepigwa.Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.
"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu
Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.
Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.
@yakodaya
Baada ya kusema hayo nawasilisha
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Imani tunaweka kwenye mafuta ambayo ameombea na nabiiKwa hiyo imani mnaiweka kwenye kukanyaga mafuta, kwa mwamposa au kwa nani? maana kwenye haya maswala ya imani inabidi tuwekane sawa watu wasije kujikuta wamepigwa.
Kwanini yeye aniite mm malaya..??Ila mkuu kashfa ulizotoa na matusi siyo sawa futa haya matusi mkuu uwez mlala member hapa na mama ake umefika mbali Sana kwa Hilo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Imani bila vitendo Ni Kaz bureKwa hiyo imani mnaiweka kwenye kukanyaga mafuta, kwa mwamposa au kwa nani? maana kwenye haya maswala ya imani inabidi tuwekane sawa watu wasije kujikuta wamepigwa.
Alikuita hvyo kwa sababu umecommet ujinga ndio maana akasema apakwe wew mafutaKwanini yeye aniite mm malaya..??
Acha ulofa ww..!
siku akitafunwa hatokwambia hakika......acheni upuuzi bana....Tatizo ametanga na amekuwa akitangaza ktk tangazo lake la redio kuwa mtume atatoa mafuta bureeee
Wife jusi kaenda akanyimwa mafuta
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha apige Hadi umwagike ila upako tunapokeaaIla jamaa kwa mpunga tu anawapiga sana