Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

mtu mwenye akili timamu hawezi akaenda katika nyumba ya ibada eti kupewa au kununua mafuta. mafuta ya kweli ni Roho Mtakatifu, zaidi ya hapo ni ushirikina...acheni ulofa wa akili na roho.

hapo ni mahali pa biashara tu
 
mtu mwenye akili timamu, hawezi kukubali kwenda katika nyumba ya ibada eti kupewa au kunu nua mafuta. mafuta ya kweli ni Roho Mtakatifu peke yake, zaidi ya hapo ni ushirikina...acheni ulotu wa akili na roho
Najuwaa unaona jipya kwenye mafuta ,niseme tu mafuta yapo had kwenye Bible so usione mashaka kikubwa ww tumia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mjinga huyo anajifanya yy anajua kutukana.
Mbona humkemei yeye alivyoanza kunitukana?
 
Cjawah kumtukana mtu humu JF ila jnc utakavonijia ndivyo na mm nitakujibu.
Afu sio khs mafuta ya mwamposa huwezi kujibu leo, ila nlichokuuliza huwez kujibu mana bado una akili ndogo, nmesoma comments zote za huu uzi nimegundua una matatizo ya akili.
 
Najuwaa unaona jipya kwenye mafuta ,niseme tu mafuta yapo had kwenye Bible so usione mashaka kikubwa ww tumia

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
soma biblia uielewe vizuri. mafuta hayakutumika hovyo katika biblia, it was rhema na si doctrine kama mnavyodanganywa ilikuwa doctrine pale wafalme walipotawazwa tu. na mara moja tu kwa nabii ambapo Nabii Eliya alimtia mafuta Elisha kuwa mrithi wake, wakati Yeshu alipotiwa mafuta pia na Asael kuwa mfalme wa Aramu na si kwa upuuzi unaooendelea.

Hata sasa mtu anaweza akawa anaumwa, hawezi kuja ibadani, kupitia neno la Mungu Roho Mtakatifu akamwambia mtumishi aombee hata vazi la mgonjwa, atakapolivaa atapona. Na ndicho kinachoomaanishwa katika kitabu cha Yakobo...mmoja wenu ikiwa hawezi....anaumwa hawwezi kutembea kufika mahali pa maombezi. Lakini ni lazima kumsikiliza Roho Mtakatifu anataka mfanye nini. Si kukurupuka na vichupa vya mafuta ya kichawi yaliyochanganywa na ya alizeti.

One incident ambalo ni ufunuo wa wakati mmoja hauwezi ukawa doctine kama mwamposa anavyowadanganya.

kama unaona ni sawa, kwa nini unalalamika. Unataka upewe bure, unajua yeye mwaposa ameyatoa wapi?

Jifunze kujisimamia kiroho. achana na upuuzi wa wajasiriamali WANIKOLAI waliojipenyesa katika kazi ya Mungu...ambao wamesimika mfumo ambao unaondoa uongozi wa Roho Mtakatifu ndani ya kanisa, na kusimamisha uongozi wa kibinadamu uliozungukwa na viashiria vyote vya kishirikina.
 
Ni kweli mm malaya maana nilikunyandua ww na maza yako.
Sina ufukara wala utajiri labda kama ww ni fukara njoo inbox nikusaidie pesa ya kula na mumeo.
Wee ulianza kukoment mwaNzo kuwa mafuta yatumike kuponya mashoga na wadangaji je Ni saw Hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Em mwagilia kwenye card yako ya bank au sehemu yako ya kuhifadhi pesa tuone itakuaje
Hapn mbaga uwez funa usichopanda hata siku Moja

Kumwagilia kwenye sehemu ya kuhifadhi pesa Ni sawa kwani utazilinda dhid ya chuma ulete

Maji yanasafirishwa had nnje ya inchi sembuze hapa nchini yanatoka hapa had musoma ,ngaraa, singida na ushuhuda unatolewa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uko njema........
 
Ni kwasababu wajinga ndo waliwao[emoji28]
Wanasema ogopa Sana kundi la watu wajinga
Ila pia Kuna watu wanajinazibisha kuwa wao Ni wakatoliki kindakindanki au walutheri original hawatetereahwi Wala kuyumbishwa na imani hawayumbishwi ila Cha kusikitisha Ni kuwa mapadri na wachungaji wao ndio waongoza kwa ulawiti na uchawi imani hz tuwe makini mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Duh kwhy watu wwnafunga safari kutoka mbinga songea kufuata mafuta ya mzaituni kwa mwamposa
Mbinga karibu mtu anatoka msumbiji huko maputo Cabo delgado anakuja kufata mafuta dsm ili kuweza kusaidia kuwadhibiti magaidi [emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…