Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Haiwezekani watu elf20000 kwa ibada moja wawe wajinga jmn haiwezekani Ni Kweli Kuna ujinga ila siyo sawa watu elf 20000 kuwa wajinga Ni vyema kujizalimisha kwa mwamposa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Je lile nyomi la kakobe na lusekelo Mzee wa jibapa vp waumini wao walikuwa wajinga
 
Je lile nyomi la kakobe na lusekelo Mzee wa jibapa vp waumini wao walikuwa wajinga
Hawakuwa wajinga hata ,siku moja nilimsindikiza mtu kanisa la efata mwenge pale nilikuta nyomi mbaya mbovu Sasa unajiuliza Ni kwamba watu Ni wajinga au Kuna kitu wahumini wanafanyiwa mnk nyomi la mwamposa la kuhani Musa Bado mwingira .Ni balaha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uwe tu na akili ya kuchuja. Kama kuna ambavyo havipo sawa unavifumbia macho utapelekeshwa sana.
 
Wew mwenyewe una matatizo ya akili tatizo hujijui ipo siku utaletwa pale , na hakika utatoa ushuhuda wako

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Haiwezekani uwe na waumini wengi vile na sadaka zao zote wanazokupa haujajenga kanisa hata zahanati Wala shule. Wanaosali kwa Mwamposa wamechagua maisha ya ajabu sana. Nota Bene: huu ni mtazamo wangu binafsi sitaki majungu.
 
Yule tapeli Kama matapeli Wengine tu
 
Mjumbe hauawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…