Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Kwa hiyo hata sadaka hampeleki? Maana kama unalalamikia buku ya mafuta ina maana sadaka huwa hampeleki sasa...na kwani unaenda kusali mara moja tu na haurudi tena? Kama ukikuta jumapili hii wanauza si unaacha kuchukua unachukua jumapili ijayo kwakuwa unakuwa umeshajua wanauza?
Tunapeleka kero yangu Ni kwanin adanganye kuwa anatoa bure kumbe sihvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kitabu cha maombi anauzaje?
 
Back
Top Bottom