Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Uko frustrated sana mkuu, kila kitu unakijua wewe tu
Hata unavyoukatikiaga vizuri Mkurudungu wa Mumeo ( Basha ) wako najua pia.

Umeshaambiwa ( Umesikia ) kuwa Mimi MINOCYCLINE ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nitaachaje kuwa Mjuaji wa kila Kitu?

Kwa mfano tokea Jumatatu ( Juzi ) kwa Kujiamini kabisa ( kama Kawaida yangu ) nilianzisha Uzi nikisema kuwa Ally Kamwe ndiyo anaenda kuwa Msemaji Mkuu wa Yanga SC Je, jana hakutangazwa Yeye kama nilivyosema Juzi?

Pumbavu.
 
Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mmwamposaa ni tapeli tu, siku mtakayokuja kushtuka ni too late,
Ngojea misukule yake uhone itakavyokuja kumtetea hapa
 
Hata unavyoukatikiaga vizuri Mkurudungu wa Mumeo ( Basha ) wako najua pia.

Umeshaambiwa ( Umesikia ) kuwa Mimi MINOCYCLINE ni 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nitaachaje kuwa Mjuaji wa kila Kitu?

Kwa mfano tokea Jumatatu ( Juzi ) kwa Kujiamini kabisa ( kama Kawaida yangu ) nilianzisha Uzi nikisema kuwa Ally Kamwe ndiyo anaenda kuwa Msemaji Mkuu wa Yanga SC Je, jana hakutangazwa Yeye kama nilivyosema Juzi?

Pumbavu.
Basi samahani mkuu.
 
Back
Top Bottom