Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Ujinga tu, hiyo biblia inayoongelea uponyaji inasema “mmepata bure toeni bure” - mambo ya kijinga kabisa kuamini huu ujinga watumishi hewa!
 
Bei ya mafuta kwa mwamposa

1000 tsh. Tu assume wamenunua watu

20,000 x1,000=20,000,000 per day

Akipiga siku zake mbili za weekend.

Gharama za hayo mafuta na kila kitu toa 5,000,000

Kwa wiki akipiga milion 35,000,00
Kwa mwezi ana 140,000,000 tsh.

Mjini akili tu na mipango......
 
Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hoyo mnanunua mafuta na hamuombewi sio?
 
Hpn mkuu siyo kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha ubishi.ile Ni korie ilowekwa mzaituni kidogo.unajua mafuta ya mzaituni yalivo adimu na ghali wewe?unajua bei yake?
Extra virgin olive oil unajua chupa ya Lita tu inauzwaje?
Then Huyo mwamposa anunue madumu ya kutosha awamwagie pale myakanyage?
Anayatoa wapi ?
 
Kwani kuna mtu aliwatuma muende huko? si kiherehere chenu na kutokujielewa kwenu? mnajua kabisa jitu sanii linafanya biashara bado mnajipeleka tu, na bado awakamue kabisa mpaka damu nyambaff
 
buku haitoshi kaka. tunataka kuanzia elfu kumi kama hadi buku ya mafuta unalalamika Jumapili kasali kwa Paroko wako tu, nitakuruisha pale mlangoni kabisa. Mimi naendesha radio nchi nzima, Tv nalipa posho wafanyakazi alafu unakuja na buku wakati lile eneo tu nalipia million 6 kila mwezi haupo seriously.
Uongo milioni 6 hpn acha uzushi

Back
Top Bottom