Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.

"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki tu

Sina shida na wew kbsa ila unaleta taharuki mtu anatoka huko mkoani au hapa hapa DSM anakuja unamleta pale alfu anafika anajuwa kbsa kuwa mafuta Ni bure na tangazo amelisikia vzr kuwa mtume atagawa mafuta na maji buree wkt kiuhalisia maji na mafuta yanauzwa elf 1000.

Hili linakuaribia sana kwani watu wanasikia matangazo yako wanamiminika kanisani kwako wakifika pale maskni hawana hela za kununua mafuta tunaishia kugawana mafuta na hii hutokea Mara nyingi ktk siku za kuganyaga mafuta siyo sawa naomba utoe hicho kipengele Cha kugawa mafuta bure kwani hatupewi na tunajibiwa vby na wauuza mafuta.

@yakodaya

Baada ya kusema hayo nawasilisha

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni false advertising, kwa mwanasheria anaweza pata ulaji kwa kumshtaki.
 
Hayo mafuta yanasaidia nini?
 
Huwa nafuatilia, utakuta siku ya mafuta, ndani ya ibada, utasikia "usipake hayo mafuta mpaka niwaambie", hapo ibada inaendelea na huwa yanagawiwa kama keki siku ya keki ikitangazwa. Swali kwako mleta mada, je hapo ibadani wanalipia?
Usikurupuke kumshambulia mtu kabla hujachunguza zaidi. Siku ya mafuta bure huwa inatangazwa, vinginevyo utanunua nje kwa kuwa sio kila ibada mafuta yanatolewa bure
 
Anaesali kwa Mwamposa ni mwanaume dhaifu asiyejua kuwa maisha ni kupambana. Mwanaume anaesubiri kupewa Kila kitu, haishi kulalamikia marafiki zake na ndugu zake. Ana Imani jamii yake imemloga. Amekata tamaa na Maisha. Sasa kaa chini ujiulize wewe ni mwanaume wa aina hii au ? Nakupa link ya video hii hapa chini ya Jordan Bernt Peterson ni Clynical Pschycologist anafanya uchambuzi wa nilichosema.

Nauli ya bus toka mkoani unayo ya daladala unayo pesa ya kununua Maji ya kunywa unayo unakosaje sasa pesa ya kununua upako.
 
Kosa la zumarid ni kutowashika mjini walamba asali angekula nao jela ingemuogopa.
 
Mwingine huyu hapa anagawa pesa kwa watoto.
Hakuna pesa ya bure hapo,kila jambo lipo calculated in spiritual meaning.Mungu awafumbue macho vipofu
 
Usinipangie cha kumjibu.
Kwani mama yake ni nani.
Ww hujui kuwa mm ni mstaafu age yangu iko above 60+?
Sawa Babu lkn siyo sawa Babu mtu mzima Kama wewe utoe maneno hayo adharani au ujalipwa pesion zako nnn au na una frasturation zako nn babu zinakusumbua Kia's utukane Kia's hiki

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom