Kweli tupu alikuwa mke wa Wakili Msomi Mosses Kaluwa ambaye alipambana na Mangungo katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa SimbaAlikuwa ni mke wa mtu kabisa. Jamaa (Kaluwa) baada ya kuona atakufa kwa ugonjwa wa moyo, akaona isiwe tabu. Alibwaga manyanga.
NB: Mwanamke akishaingia tu kwenye siasa, asilimia za kubakia mwaminifu kwenye ndoa hubakia kuwa chache sana.
Wakili Moses Kaluwa, mzaliwa wa wilaya ya Nachingwea, Lindi ni mhitimu wa Kitivo cha Sheria, UDSM, baada ya kuajiriwa taasisi mbalimbali za serikali, hivi sana ana kampuni binafsi ya uwakili, Kaluwa Advocates jijini DarHuyo Moses Kalua ni mtu wa wapi na historia yake ikoje?
Huyu anatania, yani hesabu zake ni kugombea 2025 ndio muhula wa hayati unge malizika lakini yule mpuuzi chawa pro max anajiita msukuma ni maarufu kuliko yeye huoni kama ni masikhara hayoUsimbeze Mkuu. Kuna mtu alikuwa Konda leo ni waziri
Kipi kilifanya waachane na Bonnah??Wakili Moses Kaluwa, mzaliwa wa wilaya ya Nachingwea, Lindi ni mhitimu wa Kitivo cha Sheria, UDSM, baada ya kuajiriwa taasisi mbalimbali za serikali, hivi sana ana kampuni binafsi ya uwakili, Kaluwa Advocates jijini Dar
Kabisa mkuu! Hasahasa Katoro, wamejaa wannyarwanda wengi hadi wana kanisa laoGeita na Rwana ni mbali, sipokua wahamiaji kutoka Rwanda wamejaa tele ukanda wa Geita
Katoro, Bwanga, Runzewe, Nyampalahala, Chato, Kashelo, Lyambamgongo, namba moja, Katime, Ikina, Bukoli, Masumbwe, Buselesele..... nakadhalika pote wapo Kagame bantuKabisa mkuu! Hasahasa Katoro, wamejaa wannyarwanda wengi hadi wana kanisa lao
Wanajiita Wahangaza na wanyambo,kumbe ni watusiKatoro, Bwanga, Runzewe, Nyampalahala, Chato, Kashelo, Lyambamgongo, namba moja, Katime, Ikina, Bukoli, Masumbwe, Buselesele..... nakadhalika pote wapo Kagame bantu
Sijawahi kuona wengine tofauti na wao! But sikuwahi kudadisi Kama wengine hawaruhusiwiDuh ,ina maana watanzania wenzetu hawaruhusiwi kusali humo?
Misijui mkuu...ni kwamba wanavuka boda kuingia kirahisi?
AiseeSijawahi kuona wengine tofauti na wao! But sikuwahi kudadisi Kama wengine hawaruhusiwi