Bonnah Kamoli, mtaalamu wa masuala ya IT mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Tanzania

Status
Not open for further replies.
Alikuwa ni mke wa mtu kabisa. Jamaa (Kaluwa) baada ya kuona atakufa kwa ugonjwa wa moyo, akaona isiwe tabu. Alibwaga manyanga.

NB: Mwanamke akishaingia tu kwenye siasa, asilimia za kubakia mwaminifu kwenye ndoa hubakia kuwa chache sana.
Kweli tupu alikuwa mke wa Wakili Msomi Mosses Kaluwa ambaye alipambana na Mangungo katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Simba
 
Mtu mmoja ampige Kofi atoke kwenye hiyo ndoto kabla hajakojoa kitandani, sidhani hata kama mkoa anaotokea ana fahamika na wilaya hata 3 alafu anataka uraisi🤔🤔
 
Usimbeze Mkuu. Kuna mtu alikuwa Konda leo ni waziri
 
Huyo Moses Kalua ni mtu wa wapi na historia yake ikoje?
Wakili Moses Kaluwa, mzaliwa wa wilaya ya Nachingwea, Lindi ni mhitimu wa Kitivo cha Sheria, UDSM, baada ya kuajiriwa taasisi mbalimbali za serikali, hivi sana ana kampuni binafsi ya uwakili, Kaluwa Advocates jijini Dar
 
Usimbeze Mkuu. Kuna mtu alikuwa Konda leo ni waziri
Huyu anatania, yani hesabu zake ni kugombea 2025 ndio muhula wa hayati unge malizika lakini yule mpuuzi chawa pro max anajiita msukuma ni maarufu kuliko yeye huoni kama ni masikhara hayo
 
Wakili Moses Kaluwa, mzaliwa wa wilaya ya Nachingwea, Lindi ni mhitimu wa Kitivo cha Sheria, UDSM, baada ya kuajiriwa taasisi mbalimbali za serikali, hivi sana ana kampuni binafsi ya uwakili, Kaluwa Advocates jijini Dar
Kipi kilifanya waachane na Bonnah??
 
Huyu anatania, yani hesabu zake ni kugombea 2025 ndio muhula wa hayati unge malizika lakini yule mpuuzi chawa pro max anajiita msukuma ni maarufu kuliko yeye huoni kama ni masikhara hayo
Sawa sawa
 
Kabisa mkuu! Hasahasa Katoro, wamejaa wannyarwanda wengi hadi wana kanisa lao
Katoro, Bwanga, Runzewe, Nyampalahala, Chato, Kashelo, Lyambamgongo, namba moja, Katime, Ikina, Bukoli, Masumbwe, Buselesele..... nakadhalika pote wapo Kagame bantu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom