Kweli tupu alikuwa mke wa Wakili Msomi Mosses Kaluwa ambaye alipambana na Mangungo katika Uchaguzi wa Mwenyekiti wa SimbaAlikuwa ni mke wa mtu kabisa. Jamaa (Kaluwa) baada ya kuona atakufa kwa ugonjwa wa moyo, akaona isiwe tabu. Alibwaga manyanga.
NB: Mwanamke akishaingia tu kwenye siasa, asilimia za kubakia mwaminifu kwenye ndoa hubakia kuwa chache sana.