Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,407
umeusikiliza huo wimbo au unafuata mkumbo????title yake ni MATUSI ila alichoongelea si matusi!!usifate mkumbo kama VINEGA kwa SUGU
niaje guys, mi naona jamaa kafanya makosa ya kawaida tu, personal errors, so it can not harm the whole message
Visread vya kichovu kama hivi ndivyo vinavyonifanya nisipite kabisa jukwaa hili, ameomba msamaha alifanya nini? na huyo bonta ni nani au anafanya kazi gani? au dogo unadhani wote wanaotumia JF wanaishi Manzese kwamba kitu ukisikia wewe basi wote wanakijuwa!! nyambafu.Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion
Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion
Visread vya kichovu kama hivi ndivyo vinavyonifanya nisipite kabisa jukwaa hili, ameomba msamaha alifanya nini? na huyo bonta ni nani au anafanya kazi gani? au dogo unadhani wote wanaotumia JF wanaishi Manzese kwamba kitu ukisikia wewe basi wote wanakijuwa!! nyambafu.
Kwahiyo huu ndio ufafanuzi wako kwamba huyo Bonta wako ameomba msamaha kwa kosa gani!! na je Bonta ni nani na anafanya nini?Heri yako wewe unayekaa sehem za matajir afu registration form ya jf haina physical addres afu cio kila k2 unajua ndo maana upo jf and jiheshmu huwez comment bla ku2kana
Fafanua basi mkuu, bonta ndio nani?Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion
Ngoja shule zikifunguliwa usumbufu kama huu utapunguwa sana JF.Fafanua basi mkuu, bonta ndio nani?
Jamaa kapost kwenye wall ya dj choka facebook mi binafs yangu cjaridhka anatakiwa aombe na redion
Amuombe msamaha nani na kwa kosa gani?Kwa hli bro omba msamaha umeharibu et mistar yako ina thaman kuliko bikira ya maria hii cio ki2 kizur