Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Thé Concise History of American Politics McGraw
Globalization Dymistified by Rweyemamu
Democracy in Plural Sociétés By Arend Ljhaphat ila kitabu hiki kizuri nadhani viongozi wa Africa ingekua altimatum kwao kukisoma.
 
The partnership - Aboud Jumbe
Kwaheri Uhuru Kwa heri ukoloni
Knock knock whos there- James H. Chase
No orchids for Miss Blandish. - James Chase
Najisikia kuua tena. - Ben Mtobwa
Haini - Shafi Adam Shafi
 
Mwaka mzima sijasoma kitabu
Ukitoa vya masomo ya darasa
 
snipa ilikuwaje ukawa innterested na homosexuality?


Not interest.
Niliona one of the book from my friend written by John Boswell heading Christianity, Social Tolerance and Homosexuality, nilijaribu kukisoma n then decided to read those Books concerning opposite side....
 
Last edited by a moderator:
parched earth -elieshi lema
the gathering storm-hamza sokko
secret no more-gorriet kyomuhendo
head above water
lion of yola
 

Mkuu umenivutia hapa kwenye presentation skills. Hongera kwa kupata maarifa toka kwenye hivyo vitabu. Ulivyoandika umeni-inspire sana mkuu.. As long mi ni mtu wa kuzungumza na watu katika makongamano naomba nitajie majina ya hivyo vitabu ili nivitafute, kama unavyo soft copy nitumie kwenye siaotum@live.com.
Hongera tena mkuu
 
Ni mwiso wa mwaka, wale wasoma vitabu ni wakati wa kujitatmini na kushare knowledge tulliyoipata mwaka huu.
mwaka huu usomaji wangu haukuwa mzuri, nimeweza kusoma vitabu vinne tu. viwili ndiyo nimemaliza.

1.WHY NATIONS FAIL: Kimeandikwa na Daron Acemoglu na James Robinson. Hiki nilianza kusoma mwaka jana na mwaka huu ndiyo nimekimalizia.



2.El Narco: Inside Mexico's criminal insurgency. hiki kinahusu jinsi magenge ya madawa ya kulevya huko Mexico yanavyojiendesha.



3.six days of war: Hiki kinaelezea mambo yalivyokuwa wakati wa vita ya 1967 kati ya Waisrael na Waarabu.



4.The new tsar: the rise and reins of Vladimir Putin. hiki bado nakisoma.


5.The Social Order of the Underworld: How Prison Gangs Govern the American Penal System. kitabu kizuri ila sikukimaliza.


karibuni kushare. hawa walishare nyuzi za miaka ya nyuma. Kiranga, Roulette, EMT, The Boss, Nyani Ngabu, nyumba kubwa, Mzee Mwanakijiji, Makirita Amani, kanigini, , MSEZA MKULU, Laleyo.
 
Innocent Mage na Awakened Mage.
Starring: Asher of Resthaven, mwana wa mvuvi aliyefunga safari kwenda Dorana kutafuta kazi, hatma yake akajakuwa mfalme.
 
Parallel life by Bonne Greer. ~Tip and run by Edward Paice, Journal of the discovery or the source of the nile by John Hanning Speke, The fishermen by chigozie Obioma, The Africana by Chimamanda Ngozi Adechei.

Read them and compare and contrust our everyday life.
 
Nimesoma kitabu alichokiandika mshua mwaka mmoja kabla hajafariki.

Ila kwa sasa sitakitaja kwa sababu ya kutunza faragha.
 
Ahsante mkuu kwa uzi nzuri. Binafsi nimesoma zaidi ya vitabu ishirini.
Nitavileta hapa soon ngoja napita kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…