Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Niseme tu mwaka huu nimekuwa mvivu sana kusoma vitabu. Nimegusa kidogo kwa kusoma vitabu hivi:
1. The Master - Key To Riches by Napoleon Hill,
2. The Magic of Thinking Big by David J. Schwartz (Ph.D)
3. Novels za James H. Chase: This is For Real, Shock Treatment, na Paw in The Bottle.
 
nilivyo soma ni shall we tell the president? hiki ni kitabu ambacho kinazungumzia siasa za marekani na kingine title nimeisahau ila imeandikwa na mtaliano anaitwa mario puzo kinazungumzia ujasusi
 
Red Giant, mwaka huu niliutoa kwa ajili ya kusoma biblia, nimesoma (sio kwa roho kama wanavyoambiwa waamini) na kugundua mapungufu, uongo, kukosekana kwa ukubalifu wa dhana zake na upotoshwaji wa historia, imani na utamaduni.

Nimekuwa na mtazamo mpya juu ya 'maandiko matakatifu'!

Aione: MR. CONFIDENT
 
Last edited by a moderator:
Waweja sanaMkuu kwa Compliment...January nilianza na Skipping Christmas cha John Grisham kishanikasoma The Street Lawyer chake pia! Mwezi wa pili nikanunua A Time to Killcha Grisham ila nilisoma kidogo nikaacha!

Mwezi Marchnilikuwa na mambo mengi nilisoma tu malalamishi ya Mr. Mwijage Ludovick namnautawala wa Mwalimu ulivyokuwa wa chuma kwa wale waliotofautiana naye kimkakatiama alioona ni mwiba kwenye harakati zake(Kwa mujibu wa Mwijage)

Mwezi wa nnenimesoma vitabu vitatu vya Philip Pulman ambavyo ni The Golden Compass,TheAmber Spyglass na The Subtle Knife.Mwezi wa tano sikusoma Kitabu ilaniliangalia Series moja matata sana ''Breaking Bad'' iliyoandikwa na bwanaVince Gilligan,Mkuu itafute kama hukuwahi ipitia!

Mwezi waSita nimesoma kitabu cha Mr. Kelvin Mponda Titled ''Tai kwenye Mzoga'' Huyubwana ni Chipukizi kwenye tasnia ya uandishi ila nadhani kama hatabweteka soontutapata Eddie Ganzel wa kizazi chetu! Pia nilisoma Mdunguaji Cha Hussein Tuwaof which kama hukuwahi vipitia vipitie tu hutalaumu uamuzi wako!

Mwezi wasaba pilika zilikuwa nyingi najisamehe bure kutofungua kitabu though nilinunuaThe Idiot kilichoandikwa na Fyodor Dostoyevsky.Mwezi wa nane na tisa nilipitiamisuko suko ya haya makitu ambayo hatujazaliwa nayo ila yanaendelea kutukamataakili zetu,ni mapenzi nazungumzia so nilisoma mawazo ya bwana john Gray '' Menare from Mars, Women are from Venus''
Lastly mwakahuu nafunga na Cross Fire ya James Patterson...ndo nafungua kurasa kilanipatapo wasaa...
 
Mkuu nimependa sana bandiko lako hili.... very impressive..
hongera sana mkuu........

Nimesoma vitabu zaidi ya 20 mwaka huu...lakini nikiviandika humu vitawa bore...maana hata mimi vingine vilini bore sababu ni vya academic discipline (yangu) zaidi...

Napenda sana novel lakini muda hauniruhusu nimezirundika nasubiri nikiwa free...maybe sometimes next year...

Ila uzuri wa vitabu vya life skills unaweza kusoma hata page moja kwa siku ukapata kitu...ndio maana nakuwa navyo pembeni ili kusoma nikiwa bored na scholarly books...
 
Hapo umeniacha...nikupongeze...

Mimi hiyo list nimesoma Why Nations Fail tu ni kitabu bomba sana kwa political economists, developmental economists etc...how politics and economics interplay to hinder or promote economic prosperity of a nation....

Kwa sasa nina vitabu viwili nadhani ntasoma before mwaka kuisha...
1. Men are from Mars Women are from Venus - John Gray
2. How to get from where you are to where you want to be - Jack Canfield
3. 15 Minutes alone with God (hiki kinawafaa wakristu tu...lakini ni kizuri sana ...hata muislamu asiye na ubaguzi anaweza soma akapata kitu...kinahusu jinsi ya kutimiza majukumu ya mwanamke aliye busy kuweza kuwa good wife...keeping your family and yourself (maintain your beauty) and praying at least for 15 minutes daily...Kitabu kizuri sana aisee...kimenisaidia kuji evaluate...mfano kwangu tuna tabia ya kula huku tunaangalia TV; sasa hivi nimewaelewesha wana familia tuache hiyo tabia...muda wa kula ni muda wa kukaa pamoja kama familia kwenye dining table...kusali pamoja na nimeandaa sahani special ambayo hero wa siku anaitumia...na inamkumbusha that person that he/she is special person in the family that day.

Nimevinunua sababu nataka kuboresha maisha yangu na mwenza wangu (the first one and third) na kuweza kufikia dreams zangu maishani (second one)...Unajua watu wengi wana uelewa mkubwa lakini kama huna ujanja wa maisha utakufa bila ku make it...ndio maana napenda sana vitabu vya saikolojia...na vinavyofundisha soft skills...

Mfano nimesoma vitabu vingi sana vya presentation skills...yani niki present utazimia...hata kama ni pumba...nakumbuka nili present watu wakapagawa kuja kushtuka chair anakuja na report (baada ya siku kadhaa of course) kuwa kuna a lot to improve in your paper only that we were all carried away with your powerful presentation...te te te...lakini nime learn ...sikuzaliwa good presenter/public speaker ...and I was bad one last year...
Yani ilikuwa ni presentation ya field data lakini niliwawekea mpaka video clip (watu midomo wazi) na within 30 minutes provided.

Nikaombwa ni present tena for 6 minutes my thesis kwenye event nyingine iliyo involve vyuo kadhaa ...nikawaacha hoi tena ...maana nilitumia picha tu kwenye power point yangu to tell 'my story'
hongera sana mkuu wa kusoma kwa purpose. unajua kuna vitabu vingi vyenye themes lukuki. hivyo ni vizuri kuchagua kusoma ishu zitakazokufaidisha, simaanishi tuache kusoma kwa furaha.
 
John gray nimesoma kitabu chake kimoja common sana... Men are from mars vitabu vingine naishiaga katikati looo
inawezekana haujapata vinavyo kukonga roho. mi kuna vitabu vingi nimeishia njiani ila vingine nasoma hadi usiku mrefu. kuna mdau aliwahisema kusoma isiwe adhabu bali tukufurahie. i hope utapata vinavyokupendeza.
 
Mimi nimesoma:
1.Gideon's Spies by Gordon Thomas
2.Spying Armageddon
3. Winner take all by dambisa Moyo.
4. Think and Grow rich by Napoleon Hill.
Ndio mwaka nilosoma vitabu vichache kuliko yote😀
 
Red Giant

Katika list yako nimesoma 7, sio mwaka huu.

Navyo ni "The Dark Side of Nyerere" (Sheikh Yahya alikuwa informer wa Nyerere?), "The Fate of Africa" (Currently reading another one of Meredith's tomes on Africa), "The Art of War", "A Brief History of Time", "Why Nations Fail" (This year), "A Knight in Africa" and "No Longer at Ease".

Mwaka huu nimesoma vitabu hivi (TopTen) List si kwa ubora, ila kwa mpango wa nilivyosoma.

1. The Obamas: An Untold Story of an African Family. Muandishi kazama katika upande wa kiafrika wa familia ya kina Obama na kawafuatilia kwa miaka karibu elfu moja iliyopita. Kwa kweli ingawa kitabu kimehusu familia ya Obama, lakini kwa upana zaidi kina historia kubwa ya kuhusu makabila na koo za kiafrika zilivyofika hapa zilipo kwa kuhamahama.

2. Commandante: Myth and Reality in Hugo Chavez's Venezuela. Muandishi kajitahidi kuandika with objectivity kuhusu Hugo Chavez, kuanzia utoto mpaka uanajeshi na urais na jinsi alivyouharibu uchumi wa Venezuela kwa kutaka kuuendesha kwa command. A very essential read in understanding modern day Venezuela.

3. The New Jim Crow: Mass Incarcernation in the Age of Colorblindness. This one I was given by an academician friend of mine after blasting the US justice system for being gung ho, especially on young black males.Way before Ferguson. It is a tour de force for those interested in the subject.

4. Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty - It turns out that democracy and inclusion are not only fair, but essential in gluing the nation states together. A convincing and detailed work with deep analysis.

5. Gaddafi's Harem:The Story of A Young Woman and the Abuse of Power in Libya . A hard read for some.This book exposes the decadent debauchery, drunken sex parties, pedophilia, sodomy and modern day slavery at Gaddafi's palace. A very touching read.You will never think of Gaddafi the same after reading this.I knew Gaddafi was an animal before reading this, after reading this I was convinced he was a special kind of depraved devil, so to speak, and I don't even believe in devils.

6. Capital in The Twenty First Century . This graduate level tour de force tome on capital is hardly for the faint of heart, it is nuanced, analytical, data rich and sometimes makes one feel like he is back in school with a witty professor who draws richly from popular culture such as "Jungle Unchained" as well as from classic literature such as Jane Austen, just to make his sometimes dry points more palatable.

7. Nyerere: The Early Years . Did you know that Nyerere had a wife before Mama Maria? That the "Masters" he took in Edinburgh was not a graduate degree? That he argued with the colonial government while in Scotland for the upkeep of his family back home? That he wrote impressively and argued convicingly with newspaper editors even as a Makerere student? This was one treasure of a book not only because it covers a lot about Nyerere that has not been exposed, but also because it anchor the narrative deep in the context of Zanaki culture and throughout the relevant background that made Nyerere who he came to be. The only regret is that the coverage does not extend to the latter years, but that is to be expected even from reading the book title alone.

8. The Fortunes of Africa : A 5,000 Year History of Wealth Greed and Endeavor - Another one of Martin Meredith's very richly detailed books on Africa. The history is not only well written, but also relevant in understanding why is Africa where it is today.

9. Kwa Heri Ukoloni, Kwa Heri Uhuru - A very interesting account on the Zanzibar Revolution.The author employs largely the technique of giving the voice to the various players who faded after the revolution, as a result the book reads a lot like oral history at some points. Massively important in capturing some history that is airbrushed by political machinations.

10. God's Problem: How The Bible Fails To Answer Our Most Important Question - Why We Suffer .
If you know and follow Kiranga, you know the deal. This book nails it.
ulikuwa na usomaji serious sana. nimependa hicho cha jim crow maana nilicheki documentary the central park five
nikajikuta nafuatilia wakina emmett till, scottboro boys et al. itabidi nikitafute.

Hicho cha gadaffi kinaonekana hakichoshi maana kitakuwa kinastaajabisha. nilivyosoma the fate of Africa nikagundua viongozi wengi wa wakati wa uhuru wako tofauti na heshima tunawapa leo.
 
I've always been an omnivorous reader.

So I read a whole bunch of different things - blogs, newspapers (I even read The Gleaner...now how many in here even know what that is?), The Encyclopedia Americana, the Encyclopaedia Britannica.....

You name it I read it.

But right now I've been busy reading my dad's work - from the time he was a student in the US all the way to his college/ university teaching career.
 
Waweja sanaMkuu kwa Compliment...January nilianza na Skipping Christmas cha John Grisham kishanikasoma The Street Lawyer chake pia! Mwezi wa pili nikanunua A Time to Killcha Grisham ila nilisoma kidogo nikaacha!

Mwezi Marchnilikuwa na mambo mengi nilisoma tu malalamishi ya Mr. Mwijage Ludovick namnautawala wa Mwalimu ulivyokuwa wa chuma kwa wale waliotofautiana naye kimkakatiama alioona ni mwiba kwenye harakati zake(Kwa mujibu wa Mwijage)

Mwezi wa nnenimesoma vitabu vitatu vya Philip Pulman ambavyo ni The Golden Compass,TheAmber Spyglass na The Subtle Knife.Mwezi wa tano sikusoma Kitabu ilaniliangalia Series moja matata sana ‘’Breaking Bad’’ iliyoandikwa na bwanaVince Gilligan,Mkuu itafute kama hukuwahi ipitia!

Mwezi waSita nimesoma kitabu cha Mr. Kelvin Mponda Titled ‘’Tai kwenye Mzoga’’ Huyubwana ni Chipukizi kwenye tasnia ya uandishi ila nadhani kama hatabweteka soontutapata Eddie Ganzel wa kizazi chetu! Pia nilisoma Mdunguaji Cha Hussein Tuwaof which kama hukuwahi vipitia vipitie tu hutalaumu uamuzi wako!

Mwezi wasaba pilika zilikuwa nyingi najisamehe bure kutofungua kitabu though nilinunuaThe Idiot kilichoandikwa na Fyodor Dostoyevsky.Mwezi wa nane na tisa nilipitiamisuko suko ya haya makitu ambayo hatujazaliwa nayo ila yanaendelea kutukamataakili zetu,ni mapenzi nazungumzia so nilisoma mawazo ya bwana john Gray ‘’ Menare from Mars, Women are from Venus’’
Lastly mwakahuu nafunga na Cross Fire ya James Patterson...ndo nafungua kurasa kilanipatapo wasaa...
hongera sana mkuu.
 
Naombeni msaada hivo vitabu vizuri vya kiswahili kama hiko cha ludovic mnanunulia wapi?manake huku arusha hakuna hivo.
 
Can Asians Think?
 
Hapo umeniacha...nikupongeze...

Mimi hiyo list nimesoma Why Nations Fail tu ni kitabu bomba sana kwa political economists, developmental economists etc...how politics and economics interplay to hinder or promote economic prosperity of a nation....

Kwa sasa nina vitabu viwili nadhani ntasoma before mwaka kuisha...
1. Men are from Mars Women are from Venus - John Gray
2. How to get from where you are to where you want to be - Jack Canfield
3. 15 Minutes alone with God (hiki kinawafaa wakristu tu...lakini ni kizuri sana ...hata muislamu asiye na ubaguzi anaweza soma akapata kitu...kinahusu jinsi ya kutimiza majukumu ya mwanamke aliye busy kuweza kuwa good wife...keeping your family and yourself (maintain your beauty) and praying at least for 15 minutes daily...Kitabu kizuri sana aisee...kimenisaidia kuji evaluate...mfano kwangu tuna tabia ya kula huku tunaangalia TV; sasa hivi nimewaelewesha wana familia tuache hiyo tabia...muda wa kula ni muda wa kukaa pamoja kama familia kwenye dining table...kusali pamoja na nimeandaa sahani special ambayo hero wa siku anaitumia...na inamkumbusha that person that he/she is special person in the family that day.

Nimevinunua sababu nataka kuboresha maisha yangu na mwenza wangu (the first one and third) na kuweza kufikia dreams zangu maishani (second one)...Unajua watu wengi wana uelewa mkubwa lakini kama huna ujanja wa maisha utakufa bila ku make it...ndio maana napenda sana vitabu vya saikolojia...na vinavyofundisha soft skills...

Mfano nimesoma vitabu vingi sana vya presentation skills...yani niki present utazimia...hata kama ni pumba...nakumbuka nili present watu wakapagawa kuja kushtuka chair anakuja na report (baada ya siku kadhaa of course) kuwa kuna a lot to improve in your paper only that we were all carried away with your powerful presentation...te te te...lakini nime learn ...sikuzaliwa good presenter/public speaker ...and I was bad one last year...
Yani ilikuwa ni presentation ya field data lakini niliwawekea mpaka video clip (watu midomo wazi) na within 30 minutes provided.

Nikaombwa ni present tena for 6 minutes my thesis kwenye event nyingine iliyo involve vyuo kadhaa ...nikawaacha hoi tena ...maana nilitumia picha tu kwenye power point yangu to tell 'my story'

mkuu umeni inspire sana kusoma vitabu ila ebhu niambie ni vitabu gani ulivyovisoma vikakusaidia kupresent vizur
 
Nimeipenda sana hii thread, kwani na mie ni msomaji mzuri sana wa vitabu.... Kwa mwaka huu cjasoma vingi inafika kama vitano na nimevimaliza. Ila kuna vitabu kama viwili alivovitoa mleta mada lazima nivitafute kwani nimevipenda sana!
 
mimi nimesoma vitabu vufuatavyo,

1. 168HRS You have more time than you think - ni kitabu kinachofundisha kuwa muda upo mwingi. Kuna mifano hai ya watu waliofanikiwa katika suala hili, ukikisoma kwa utulivu hautabaki kama ulivo. Misisitizo ni kuinvest katika key competency yk.
2. The Monk who sold his Ferrari - inspirational book safi sana.

3. Managing Difficult projects - techniques za kuendesha miradi sumbufu kikiwa na case study za kutosha.

4. Prophets and Kings - kitabu kinaelezeamanabii na wafalme wote wa bibilia na jinsi Mwenyezi Mungu alivyokuwa akifanya nao kazi. Utajifunza kulikuwa na watu wakorofi, vigeugeu, wenyemisimamo, waovu, jasiri, Pia Mungu ukifanya uovu wowote ule siku ukiamua kumrudia yeye hana shida kabisa.

5. Mwanzo na Kutoka - Vitabu vya bibilia vinavyofundisha dunia hii imetoka wapi na kwa nini tuko katika taabu, vita mashaka. pia vitu tunavyoviona leo sio vipya vimewahi tokea zamani. Uhusiano wa Mungu na ISRAEL (familia ya jamaa mmoja anaitwa yakobo)

6. Take Charge of your life -inspirational audio za Jimm Lohn

7. Inspirational Speeches of Dr Otabil Mensah.

8. miday's touch by robert kiyosaki

Mwakani ni mpango wa kumaliza Bibilia Nzima, Ni rahisi maana natumia KJV Dramatized audio huku nafuatilia kwa hard copy ya bibilia. unakuwa unasoma kama vile upo kwenye tukio. zaidi ya hilo nahitaji kusoma vitabu zaidi ya kumi nikianza na why nations fail. Lakini mwisho wa siku niwe na uwezo wa kuandaa articles za kuelimisha jamii kutokana na elimu nitakayoipata.

Ni kazi lakini naamini tatizo huwa sio muda tatizo ni nia.
 
still reading - OUTWITTING THE DEVIL , Napoleon Hill.. unasoma kitabu mpaka unasisimka aisee
 
Back
Top Bottom