Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

The Confession by John Grisham
Who Moved My Cheese by Spencer Johnson
 
state of blood-by henry kyemba
lenin and the downfall of tsarist russia
[h=1][/h]
 
onze minutos,sijakimaliza mwenyewe kaja kukichukua. Nalog off
 
Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kujisomea vitabu vya ziada na hata vya kiada na vya kitaaluma.
Hapa naomba tusaidiane kujenga spirit ya usomaji wa vitabu kwa kuorodhesha vitabu tulivyosoma au ambavyo hatujamaliza kuvisoma siku za karibuni.




Qur'ani Tukufu ambacho ndicho kitabu bora kabisa
 
How bora? hivo ni unavoona wewe! so usitake kuaminisha wote. Wapo wanaoona vitabu vingine ndio "bora" kabisa!

Si vema kushambuliana kila mtu ana uhuru wa maoni! na sioni mahali anakulazimisha kuona hicho kitabu ni bora zaidi... hebu tujaribu kuheshimu maoni ya wenzetu pale ambapo hayana athari kwetu au kwa jamii... hope you got me
 
Back
Top Bottom