Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Mmesoma kweli au mnayajua majina ya vitabu?

Jamani hamna yeyote mwenye taarifa za mwandamo wa mwezi?

Kitabu cha Juma na Roza, nikikipata..... Ntakitunza kama mboni yangu ya jicho
The White Man's Burden: Why the West's Efforts to Aid the Rest Have Done so Much Ill and so Little Good by William Easterly
Africa Doesnt Matter: How the West has Failed the Poorest Continent and What we can do About It by Giles Bolton
Nimevipenda mbali na kuwa hicho cha pili sijakimaliza

Jamani hamna yeyote mwenye taarifa za mwandamo wa mwezi?

GIFTED HANDS by Dr Ben Carson
Nakipenda sana hicho kitabu. Nakumbuka kuna law inasema Never outshine the master, learn to keep people dependent on you. Ni kitabu kizuri sana. It is a must read book.mtazamaji na elungata
tafuteni pia kitabu kinaitwa 48 laws of power

Mmmmmhhh? By whose ranking?

wiki hii nimesoma kitabu maarufu sana kwa sasa, kiitwacho NDOA YANGU, NINGEJUA. Nimekipenda sana kwa sababu kinaeleza kwa kinagaubaga kwa nini ndoa nyingi hazina amani. Kwa kweli kimenigusa kwa sababu kuna sehemu mtunzi ameeleza historia ya ndoa yangu utadhani ananijua, na hasa zaidi maswali aliyouliza: 1. KAMA UNGEJUA MKEO AMA MUMEO ATAKUWA NA TABIA ALIYO NAYO SASA, JE UNGEKUBALI KUOANA? swali hili ni zuri kwa sababu kwangu mimi nisingekubali, na hata mke wangu alipojibu swali hili, nae akasema asingekubali. Ukweli kitabu hiki ni kiboko, na ingawa nimekiazima, kwa kweli sitamrudishia mwenyewe, nataka nikisome zaidi na zaidi nitambue makosa yangu na huenda kikanisaidia pia katika kuwashauri wenzangu.

Kitabu cha pili nilichosoma kinaitwa MY DEAR BOTTLE, ukianza kukisoma andaa mbavu zako, maana kinaonyesha jinsi ambavyo pombe kumfanya mtu akapoteza utu wake na thamani kwa wengine
Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kujisomea vitabu vya ziada na hata vya kiada na vya kitaaluma.
Hapa naomba tusaidiane kujenga spirit ya usomaji wa vitabu kwa kuorodhesha vitabu tulivyosoma au ambavyo hatujamaliza kuvisoma siku za karibuni.

lol! una nguo mpya niniii??

my all times favourite! ukimaliza utafute THE BIG PICTURE!

THE BIg PICTURE ninachopia ila sijaanza kukisoma! Hata mimi navipenda sana vitabu vya Ben Carson!