Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

mtazamaji na elungata

tafuteni pia kitabu kinaitwa 48 laws of power
wow i have read that book last month..

It's more that wonderful! Now am reading "How to get from where you Are to where you want to Be" (the 25 principles of success) by Jack Canfield.
 
Fafanuwa,.....maana zipo A mpaka Z, sasa wewe unasoma kipi?
kwa ulivyo mtata nakushauri nunua kitabu hiki The 7 Habits of Highly Effective People. Author Stephen R. Covey.

Hakimfai Nyani hicho, kina mazoezi kibao magumu ya kufanya kila mwisho wa sura!
 
Hata tetemeko halikukufikia huko?

Kama uko Florida msimu wenu bado!

Tetemeko nililisikilizia kwa mbali. Uzuri haya majanga hutokea kwenye hizi nchi zilizoendelea. Sipati taswira kama yangekuwa yanatokea Afrika kusini mwa jangwa la Sahara ingekuwaje!
 
UJAMAA;. Julius K. Nyerere (1970);. Oxford University Press,. Dar es Salaam
 
Kwa sasa nasoma "siku 1888 gerezani" na Kamara Kasupa.

Kinauzwa ghali na editing haikufanyika vizuri lakini ni worth reading kwa wale ambao hawajaingia jela.

Ameeleza yote kuhusu adhabu na mateso ya jela ingawa ametumia lugha kali hasa anapoelezea mambo ya ulawiti gerezani.

Pia ameweka namba zake za simu na jana nilimpigia tukaongea kirefu sana.

kuna mambo ya kustua sana kwa mfano ili kuzuia wizi wa nyama, nyama ikishakatwa vipnde inawekwa ndani ya viroba na kuchemshwa ikiwa ndani ya viroba in that case walaji wanakula ni kemikali zitokanazo na viroba!!!!!!

Jela ni jahanamu!!!!!
 
mimi namalizia "The Amazing Results Of Positive Thinking" by Norman Vincent Peale
 
just finished '20's girl by Sophie Kinsella'

Now am reading 'Making Public Enterprises Work' by Prof William Muhairwe its interesting how he turned National Water and Sewarage Corporation of Uganda to be the most respected company in EA and how they beat all obstacles to become the best in the world...now they have external services for other utilities to learn from.....I respect him a lot, he neglected Worldbank advice of diversturer(sp) to his utility's gain,

Any public worker that wants this copy pls PM me.
 
jamani mbona hamsomi vya kiswahili? Nasoma research methodologies for now
 
The 48 Laws of Power is neither an article, nor a book per se. It is like some kind of a bible, complete with the reference column on the side. Greene is such a classicist.

Greene!!

sifa nyingi ziende kwa Niccolo Machiavelli wa Prince
 
Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kujisomea vitabu vya ziada na hata vya kiada na vya kitaaluma.<br />
Hapa naomba tusaidiane kujenga spirit ya usomaji wa vitabu kwa kuorodhesha vitabu tulivyosoma au ambavyo hatujamaliza kuvisoma siku za karibuni.
<br />
<br />
Vita Dhidi ya Ugaidi: nikizuri sana kimeandikwa kwa lugha ya kiswahi safi!
Mtunzi anaitwa YERICKO Y NYERERE
 
Kufikirika cha Shaaban Robert, toka nilipokisoma na kukimaliza kwa mara ya kwanza 1986, wiki hii nimefanya hivyo kwa mara ya nne. Hakikinaishi.

Nimeanza kingine "Teach Yourself Journalism" by Geoff Pridmore.
 
Back
Top Bottom