Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Kufikirika cha Shaaban Robert, toka nilipokisoma na kukimaliza kwa mara ya kwanza 1986, wiki hii nimefanya hivyo kwa mara ya nne..

Hapa mkuu utanisamehe ni kama kuna UTATA maana hata title ya kitabu umekosea sasa inawezekana kwenye hiyo namba pia umekosea.
 
The devil on the cross by James ngugi, Entebe rescue (simkumbuki author)
 
naendelea kusoma Safari za Allan Quatermain , mashimo ya Mfalme Suleimani kilichoandikwa na H.Rider Haggard .
 
si ndio Marchiavelli's imeandikwa na Robert Greene?

sidhani kama ni kitabu, ni kama ka-article hivi

ila ni nzuri though kama radical saana

mimi nazungumzia kitabu kinaitwa 48 laws of power
robert greene ana vitabu vingi tu
 
just finished '20's girl by Sophie Kinsella'

Now am reading 'Making Public Enterprises Work' by Prof William Muhairwe its interesting how he turned National Water and Sewarage Corporation of Uganda to be the most respected company in EA and how they beat all obstacles to become the best in the world...now they have external services for other utilities to learn from.....I respect him a lot, he neglected Worldbank advice of diversturer(sp) to his utility's gain,

Any public worker that wants this copy pls PM me.
Mmmmmhhh? By whose ranking?
 
wiki hii nimesoma kitabu maarufu sana kwa sasa, kiitwacho NDOA YANGU, NINGEJUA. Nimekipenda sana kwa sababu kinaeleza kwa kinagaubaga kwa nini ndoa nyingi hazina amani. Kwa kweli kimenigusa kwa sababu kuna sehemu mtunzi ameeleza historia ya ndoa yangu utadhani ananijua, na hasa zaidi maswali aliyouliza: 1. KAMA UNGEJUA MKEO AMA MUMEO ATAKUWA NA TABIA ALIYO NAYO SASA, JE UNGEKUBALI KUOANA? swali hili ni zuri kwa sababu kwangu mimi nisingekubali, na hata mke wangu alipojibu swali hili, nae akasema asingekubali. Ukweli kitabu hiki ni kiboko, na ingawa nimekiazima, kwa kweli sitamrudishia mwenyewe, nataka nikisome zaidi na zaidi nitambue makosa yangu na huenda kikanisaidia pia katika kuwashauri wenzangu.
Kitabu cha pili nilichosoma kinaitwa MY DEAR BOTTLE, ukianza kukisoma andaa mbavu zako, maana kinaonyesha jinsi ambavyo pombe kumfanya mtu akapoteza utu wake na thamani kwa wengine
 
Ndg. Kautipe umewahi soma ile hadithi ya "Kautipe na Utumbo wa Kuku"?
 
The White Man's Burden: Why the West's Efforts to Aid the Rest Have Done so Much Ill and so Little Good by William Easterly
Africa Doesnt Matter: How the West has Failed the Poorest Continent and What we can do About It by Giles Bolton

Nimevipenda mbali na kuwa hicho cha pili sijakimaliza

Hiko nilichoki-highlight mm naikafuta kweli.....

Sasa hv nasoma "The Titan of Tanzania: Julius K. Nyerere's Legacy by Ali Mazrui".

The World is Flat (2007) By Thomas L. Friedmam, nimekimaliza last week ni mkate kweli.... Its a book worthy reading......
 
Jamani hamna yeyote mwenye taarifa za mwandamo wa mwezi?
 
Du wakubwa mi ndo nasoka kitabu cha mkakati wa kwenda ikulu natumain ni kizuli mana mwanzo ni mzuri
 
Back
Top Bottom