Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
snipa ilikuwaje ukawa innterested na homosexuality?
Hapo umeniacha...nikupongeze...
Mimi hiyo list nimesoma Why Nations Fail tu ni kitabu bomba sana kwa political economists, developmental economists etc...how politics and economics interplay to hinder or promote economic prosperity of a nation....
Kwa sasa nina vitabu viwili nadhani ntasoma before mwaka kuisha...
1. Men are from Mars Women are from Venus - John Gray
2. How to get from where you are to where you want to be - Jack Canfield
3. 15 Minutes alone with God (hiki kinawafaa wakristu tu...lakini ni kizuri sana ...hata muislamu asiye na ubaguzi anaweza soma akapata kitu...kinahusu jinsi ya kutimiza majukumu ya mwanamke aliye busy kuweza kuwa good wife...keeping your family and yourself (maintain your beauty) and praying at least for 15 minutes daily...Kitabu kizuri sana aisee...kimenisaidia kuji evaluate...mfano kwangu tuna tabia ya kula huku tunaangalia TV; sasa hivi nimewaelewesha wana familia tuache hiyo tabia...muda wa kula ni muda wa kukaa pamoja kama familia kwenye dining table...kusali pamoja na nimeandaa sahani special ambayo hero wa siku anaitumia...na inamkumbusha that person that he/she is special person in the family that day.
Nimevinunua sababu nataka kuboresha maisha yangu na mwenza wangu (the first one and third) na kuweza kufikia dreams zangu maishani (second one)...Unajua watu wengi wana uelewa mkubwa lakini kama huna ujanja wa maisha utakufa bila ku make it...ndio maana napenda sana vitabu vya saikolojia...na vinavyofundisha soft skills...
Mfano nimesoma vitabu vingi sana vya presentation skills...yani niki present utazimia...hata kama ni pumba...nakumbuka nili present watu wakapagawa kuja kushtuka chair anakuja na report (baada ya siku kadhaa of course) kuwa kuna a lot to improve in your paper only that we were all carried away with your powerful presentation...te te te...lakini nime learn ...sikuzaliwa good presenter/public speaker ...and I was bad one last year...
Yani ilikuwa ni presentation ya field data lakini niliwawekea mpaka video clip (watu midomo wazi) na within 30 minutes provided.
Nikaombwa ni present tena for 6 minutes my thesis kwenye event nyingine iliyo involve vyuo kadhaa ...nikawaacha hoi tena ...maana nilitumia picha tu kwenye power point yangu to tell 'my story'
cheki nyuzi za zamani na tusubiri wadau watiririke.tisha sana napenda kusoma vitabu ila cvijui vile vitabu vizuri....muongozo kwa hili