wow i have read that book last month..mtazamaji na elungata
tafuteni pia kitabu kinaitwa 48 laws of power
I did and it was a wastage no doubt!
Najuta....lol
Fafanuwa,.....maana zipo A mpaka Z, sasa wewe unasoma kipi?
kwa ulivyo mtata nakushauri nunua kitabu hiki The 7 Habits of Highly Effective People. Author Stephen R. Covey.
Hata tetemeko halikukufikia huko?
Kama uko Florida msimu wenu bado!
I did and it was a wastage no doubt!
Najuta....lol
UJAMAA;. Julius K. Nyerere (1970);. Oxford University Press,. Dar es Salaam
Kwa hiyo unataka kuwa kama Mfalma Suleiman Mwenye Hekima - unaonja, unajuta kisha unashauri wengine wasionje?
Mtu kajaza kurasa wakati anachokisema hakijuulikani!!
Research methodologies ni kiswahili?jamani mbona hamsomi vya kiswahili? Nasoma research methodologies for now
The 48 Laws of Power is neither an article, nor a book per se. It is like some kind of a bible, complete with the reference column on the side. Greene is such a classicist.
<br />Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kujisomea vitabu vya ziada na hata vya kiada na vya kitaaluma.<br />
Hapa naomba tusaidiane kujenga spirit ya usomaji wa vitabu kwa kuorodhesha vitabu tulivyosoma au ambavyo hatujamaliza kuvisoma siku za karibuni.