Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

vitabu vizuri sana. siku hizi nimeachaa kusoma vitabu vya mashahidi. ngoja mwakani nianze tena.
Anza mkuu vina uchambuzi flani hivi ambao unaeleweka laiti ningejua Kiranga anaishi wapi ningejitahidi nimpatie hicho kitabu cha JE KUNA MUUMBA ANAYEKUJALI? Nna uhakika angepata majibu ya maswali yake yote ambayo alihisi biblia haiwezi kujibu
 
Last edited by a moderator:
MSEZA MKULU umefanya nikuonee wivu. umepata maarifa mengi sana mwaka huu. ntatafuta baadhi ya vitabu kwenye list yako nivisome 2016.
 
Last edited by a moderator:
Anza mkuu vina uchambuzi flani hivi ambao unaeleweka laiti ningejua Kiranga anaishi wapi ningejitahidi nimpatie hicho kitabu cha JE KUNA MUUMBA ANAYEKUJALI? Nna uhakika angepata majibu ya maswali yake yote ambayo alihisi biblia haiwezi kujibu

Unajuaje kwamba sijakisoma mwaka 1982?
 
Last edited by a moderator:
vingi nimesoma juu juu lakini Gifted hand cha Ben karson na The science of getting Rich cha walles de wattless hivi viwili nimesoma kwa undani
hope 2016 nitajipanga zaidi Mungu anijalie!
 
Mkuu mbona una dharau kihivyo? Sie watanzania toka lini tukawa na desturi y kusom vitabu, sie kazi yetu ni umbea na kusimuliwa stori za kina Wema, ya muhimu hatuna habari nayo.
 
1. "The power of positive thinking" by Norman Peale.
2. How to stop worrying and start living
 
Unajuaje kwamba sijakisoma mwaka 1982?
Za asubuhi mkuu,nILIamini ujakisoma kwani majibu mengi ya hoja zako kuhusu uwepo wa mungu majibu yake yapo kwa hicho kitabu tena yamejibiwa kwa ufasaha kabisa tena yamejibiwa wanasayansi wazoefu tu katika tasnia zao especially kutoka NASA. BUT KAMA ULIKIPITIA NA BADO UKABAKIA KWENYE MSIMAMO HUO HUO IT'S FINE PIA
 
Mkuu mbona una dharau kihivyo? Sie watanzania toka lini tukawa na desturi y kusom vitabu, sie kazi yetu ni umbea na kusimuliwa stori za kina Wema, ya muhimu hatuna habari nayo.

mkuu hacha hiyo dhambi ya totalization.

kuna watanzania wenzako wanasoma vitabu (2 per week) kwa mwaka 104. tena kwa utaratibu ambao ukiambiwa utashangaa na niwengi na wako serius.
 
Kufikia Dec.31 nitakuwa nimesoma vitabu 100.wastani wa vitabu 2 Kila Juma.
Tuna group la wasoma vitabu tuna committement ya kusoma vitabu 2 kwa wiki.Na kushare Kila wiki.Tuna tumia mtandao wa Telegram.
 
Za asubuhi mkuu,nILIamini ujakisoma kwani majibu mengi ya hoja zako kuhusu uwepo wa mungu majibu yake yapo kwa hicho kitabu tena yamejibiwa kwa ufasaha kabisa tena yamejibiwa wanasayansi wazoefu tu katika tasnia zao especially kutoka NASA. BUT KAMA ULIKIPITIA NA BADO UKABAKIA KWENYE MSIMAMO HUO HUO IT'S FINE PIA

Kwa nini mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na nwenye upendo wote aumbe ulimwengu anbao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kufanyika?
 
Kwa sasa nasoma FUEL IN THE FIRE by Gregg Muttit.
 
Kwa nini mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na nwenye upendo wote aumbe ulimwengu anbao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kufanyika?
Trust me kiranga jibu ya hilo swali lipo na simple kabisa.tafuta hicho kitabu kaka angu utajaniambia.moja ya maswali magumu ambayo nilipata majibu kupitia hicho kitabu ni haya hapa
1.kwanini mungu anaruhusu tuteseke?mbn tunaambiwa ni upendo
2.je ulimwengu ulianza miaka 10000 tu iliyopita??mbn geologist,astronomy wamethibitisha kuwa ulimwengu una zaidi ya miaka billions.
3.kwanini kuna sheria za asili?je ulimwengu ungekuwa bora bila dini?
4.maoni ya mungu kuhusu ukatili wa kidini
5.je mabaki ya kale ya wanyama yanathibitisha kwamba mageuzi(evolution) ilitokea?
6.kwanini baada ya hawa na adam baada ya kutenda dhambi mungu hakuwaangamiza alafu aumbe binadam wengine?
Kupitia kile kitabu nilipata majibu sahihi kabisa
 
Kwa nini mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na nwenye upendo wote aumbe ulimwengu anbao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kufanyika?
Hoja hii tu ndio imekufanya usiamini uwepo wa Mungu????????mbona yote haya yamejibiwa kwa usahihi kabisa na biblia yenyewe.naomba nikujibu hili kwenye thread zile za kule jamii intelligence ili tusiathiri lengo la thread hii.
 
Kwa nini mungu mwenye kujua yote, kuweza yote na nwenye upendo wote aumbe ulimwengu anbao mabaya yanawezekana kufanyika wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani kufanyika?

Unazijua fundamental principles (viapo) ambazo zilitumika kuuweka ulimwengu na vitu vyote mahala pake? Kama hujui rudi kwanza ukasome biblia halafu urudi tena kuuliza swali lako
 
Holy bible.nimesoma new testament maranying na kurudia rudia na old testament kwa baadhi ya vitabu

Kwangu mara nyingi nimekuwa interested na old testament sana sana landa na revelation
 
1. No Orchids for Miss Blandish - James H Chase
2. Things Men Do - James H Chase
3. The Godfather - Mario Puzzo
4. The Godfather 2 - Hii ni extended version iliyozungumzia maisha ya Michael Corleone baada ya Don Vito kufariki, mwandishi simkumbuki ila siyo Mario Puzzo
5. Cosa Nostra - Dickie John (Hiki bado sijakimaliza)
 
Back
Top Bottom