Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Biblia ni msingi wa Maisha yetu,blessHoly Bible
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia ni msingi wa Maisha yetu,blessHoly Bible
[emoji106]The Hard Thing About Hard Things kilichoandikwa na Ben Horowitz na kwenye nafasi hiyo hiyo ninakipenda sana kitabu kinaitwa Orginals kilichoandikwa na Adam Grant
Hivi umevisoma???nimekisikia naomba unijuze na bei mkuu
Bei mkuu maana nimevipenda vitabu vya Yericho
Mi kitabu bora kwangu ni biblia tuu hivyo vingine ni stori tuuMimi kitabu bora zaidi kuwahi kukisoma ni
SUN TZU THE ART OF WAR
Kubadilishana uzoefu na kupanuana mawazo wakuu tutaje Vitabu na picha zake
View attachment 536604
Mi kitabu bora kwangu ni biblia tuu hivyo vingine ni stori tuu
The best novel to me tooThings fall apart
Nashukuru mkuuKwa Uzi huu nimeelewa kwann walisema ukitaka Kumficha Mbongo ficha kitu kwenye Kitabu! Anyway my best book is "The Measure of A Man" Martin Luther King.. The Very few Pages you'll never regret reading![]()