Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

What a nice ancient! Is this dikshonari?

Afraid I am a bit at loss on how to answer your question sir.

Mayhaps it will help just to say that I was responding to a quote and could be I weighed in with too much of quixotic language though I am certain that the lady understand me very well.
 
Oh yeah? I am flattered.
Look,I thought you should read it. You see it quiet enjoyable and certainly worth your time.

Thank you Nowonmai, I am going to check it out soon.
 
Hii mada ni nzuri sana lakini nadhani sio kwa ajili ya kila mtu, kwa sababu ya lugha iliowasilisha.

Lakini pia in kua sio rafiki kwa kila mtu kwa sababu ya aina nyingi ya vitabu vilivyo vizuri havipatikani kwa lugha mama.

Samahani ndugu mleta mada, hiko kitabu mashariki mwa edeni kina husu Nini labda , yaani maudhui yake ni ya kidini ama Ni kawaida tu?
 
I am sorry kwamba lugha haijakuwa friendly Pendael24.

Hapana sio ya kidini lakini ipo na stories za Bible kama za Adam and Eve na Cain na Abel.
 
hello,

hicho cha 'the holly spirit and his gifts' una pdf copy yake? natafuta mtandaoni siipati naipata epub (ambayo kwangu sio friendly kabisa)
 
hello,

hicho cha 'the holly spirit and his gifts' una pdf copy yake? natafuta mtandaoni siipati naipata epub (ambayo kwangu sio friendly kabisa)
Here,
 
Attachments

Oooh thanks a lot.

Niko na jambo nataka kuachieve so narudi katika vitabu kuboost hamasa yangu.

Thank yoo
May you archive what you aspire. Usisahau ku-share nasi mafanikio yako tuwe inspired.
 
May you archive what you aspire. Usisahau ku-share nasi mafanikio yako tuwe inspired.
Kwa hilo ondoa shaka,sote jambo tuta share
kwa lile ninalotaka, napaswa kulipupia
Yanichukua miaka, hili jambo kufikia
Ewe paula mpendwa, ngoja wangu mrejesho.
May you archive what you aspire. Usisahau ku-share nasi mafanikio yako tuwe ins
 
I am sorry kwamba lugha haijakuwa friendly Pendael24.

Hapana sio ya kidini lakini ipo na stories za Bible kama za Adam and Eve na Cain na Abel.
Hata usijali[emoji120]

Kwa hio Kama kinaelezea store za biblia au kimemega kiasi Cha visa kutoka katika kitabu Cha dini kinaweza kweli kuto kuhusushwa na dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…