Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hivi kwanini mtumie kingereza wakati nyie ni waswahili wa Yombo? Sio fair kabisa mnachotufanyia mliosoma shule za mabasi ya njano..
Hili limenifanya nisome tu uzi bila kuchangia,maana nikaogopa kidogo.

Sasa nakuja kutaja vitabu vyangu pendwa vya muda japokuwa siwezi kuvimaliza kwa kuvitaja ila nitavitaja vitatu au viwili.
 
Richest man in Babelon is my favourite book for now.It consist of many ideas about entrepreneurial,bussiness,investment,trade,account,culture,social and others.Its good for youth and rich people,even for poor it will help you to rise up your profit
 

Attachments

The Hitchhiker's Guide to the Galaxy: The Trilogy of four kuna mtu aliingia kwangu akakiiba wakati sijaanza hata kukisoma, halafu mbaya zaidi nimeachiwa nikisome na mtu mdogo wangu mwaka 2007 hiyo. Nakumbuka kuna siku mdogo wangu alikuwa anasoma kwa nguvu sura moja inasema something like "Thanks to all the fishes" hata nimesahau.
 
Mwamba naona unatiririka, safi sana.
 

Before you do..Tid Jackes anakwambia hata kama unataka kuachana na mtu ila ukifikiri jinsi ambavyo anafaham mambo yako mengi ukiwaza hilo linaweza kukufanya ughairi kutalikiana. Very nice book.
 
Reading is one of my hobbies
I kind of read almost anything i lay my hands on

Nmesoma vingi sana kwa kweli
Ila kwa usingzi nlonao saivi let me just say

*The subtle art of not giving a f*** by Mark Manson
Mwandishi anachambua mbinu mbalimbali za kukusaidia kufanya maamuzi ili uishi maisha mazuri zaidi...nimependa js pure logic

*An American Marriage by Tayari Jones
Ts a novel abt a couple..Roy and Celestial, Roy mweusi Celestial mwanamke mzungu...Roy akasingiziwa kesi akafungwa jela....boy it made me crrrrryyyyyyyy...maisha yao yalivyobadilika sikutegemea..read it if u can
#Spoiler:Oprah recommended it

* Becoming by Mrs Obama
Michele Obama kaelezea historia full ya maisha yake.,kinafurahisha kinafundisha mengi san

These were among good ones i read this year

nna pending km 10 hivi as of now

*Niwatakie heri ktk usomaji wenu
*Edited
 
Anything you lay your hands on....
Sawa kabisaa.
 
The Richest man in the babylon kizuri sana

Kitabu pekee kinachokujengea nidham ya pesa na namna ya kuilea katika mazingira yetu.

Vitabu vingi vinaongelea mambo ya stock, bonds, hisa n.k kama nyenzo za kukufanya ufanikiwe kwenye eneo la mambo ya fedha, hayo mambo hayatekelezeki kirahisi na wengi wetu.

The Richest Man in Babylon kinamfaa kila mtu, aliye kwenye dimbwi la madeni, tajiri, mwanafunzi, mzazi, kijana anaenza maisha.
Natamani watu wote wangekisoma wanapomaliza elimu ya sekondary au hata msingi kuwajengea nidham ya pesa.

Hua sichoki kukisoma na kukirudia, tena na tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…