Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Nilivosoma na kuvikubali zaidi. Kila kimoja kwa sababu flani;
1.The divine supermarket by Malise Ruthven
2.The undercover economist by Tim Harford
3.A short history of nearly everything by Bill Bryson
4.1000 thousands nights in one night.hiki sijawahi kukimaliza na bahati mbaya the best pdf niliyokuwa nayo nilipoteza
5.Christmass tree and the wedding by Fiodyor Dotsoevsky
6.Comparative worth of different races by Francis Gaton
7.Anna Karenina by Leon Tolstoy
NB:Mwenye vitabu vya Godfather,Crime and punishment,Brothers Karamazov,The master and Margarita aweke hapa.
Hizo sababu fulani unaweza kushare nasi T14 Armata.
 
Hicho kitabu kimeenda dimension nyingine.

Kuna sehemu unaulizwa, vipi kama panya walio katika labotatory wana akili kuzidi watu wanaowafanyia majaribio, na kiukweli hao panya ndio wanawafanyia watu majaribio, lakini wamejifanya kama wao ndio wanafanyiwa majaribio ?
Kuna wakati yanakuja mawazo kuhusu dunia na yanayoendelea huwa napata picha tofauti ya kile kinachoonekana kwa wakati huo na kile ambacho mimi nakiona kwa jicho jingine, ambacho nikifikiria kama nitamshirikisha mtu anaweza kuniona chizi 😅
 
Aliyeanzisha Uzi huu, pongezi kwake.
Kumbe tuna wasomaji tele kilanmtu akijiongezea ujuzi kimya kimya, nimevutiwa Sana na hili.
Kwa upande wangu, mapenzi na vitabu yalianzia nilipokuwa sekondari zaidi pamoja na masomo na mchepuo nilioenda kusoma.
Babu na Bibi pia walikuwa nanmsukumo mkubwa Sana tangu utotoni kila nilipowatembelea nilipokuwa likizo kwani nakumbuka kuwepo kwa kabati la vitabu na ukali wa babu anapokukuta umekaa bila Cha kufanya na vitabu vipo.

Kwa mwaka huu lengo langu lilikuwa kusoma vitabu 20 na mpaka mwezi ujao nikijaaliwa nguvu na pasipo maingiliano yoyote nitatimiza kwani kwa Sasa Niko Kitabu Cha 19.

Vifuatavyo ni baadhi ya vitabu nilivyosoma mwaka huu ambavyo vimeniachia alama ya kudumu na mguso wa kipekee:
1. The Subtle art of not giving a f*ck - Mark Mason
2. Capitalist Nigger - Chika Onyeani
3. Peaks & Valleys - Spencer Johnson
4. Black Privilege - Charlemagne That God
5. Things my son needs to know about the world - Fredrick Blackman
6. Purple Hibiscus - Chimamanda Ngozi Adichie
7. Life's Not fair but God is good - Robert R. Schuller
8. Tuesdays with Morrie - Mitch Albom
9. Letter to my daughter - Dr. Maya Angelou
10. Who will cry when you die - Robin Sharma
11. The leader who had no title - Robin Sharma
12. The 5 love languages - Gary Chapman
13. The power of habit - Charles Duhigg
14. The richest man in Babylon - George Clason
15. The Smart money woman - Arese Ugwu
Asante sana kwa pongezi na Hongera sana , Kusoma vitabu 20 kwa mwaka si mchezo.
 
Kitabu gani ? Ukinitania utakuwa umenisaidia pakubwa sana.
Nikikutania? Au nikikutajia?
HAWA THE BUS DRIVER.
Angalia hao wanaume hapo pembeni wanashangaa tuu[emoji13][emoji13][emoji13]
hawa1.jpeg
 
Hizo sababu fulani unaweza kushare nasi T14 Armata.
Mfano hii Divine supermarket inaelezea historia ya imani za kidini kama Mormons na SDA, setting yake ni USA. Ukisoma kinatoa mwanga ni kwa jinsi gani dini ni biashara kwa kiasi flani. Hiyo Undercover economist ndo inaelezea mfano kwa nini unakutana na mtu anauza kahawa airport afu mwingine anauza kahawa hiyohiyo Buguruni uswahiluni uko. Hiyo Alfu Lela Ulela hakuna mtu hajui,nlianza kuisoma niko standard 5 nikiwa sijui ni nini. Baadae nakuja kukutana nacho but version zake ndo tatizo nyingine sio tamu kusoma
 
Asante sana kwa pongezi na Hongera sana , Kusoma vitabu 20 kwa mwaka si mchezo.
Asante sana.

Nadhani ni mipangilio tu ya mambo yako na muda wako, kwa wakazi wa Dar tunaotumia daladala kila siku kwenda kwenye majukumu yetu tunatumia zaidi ya saa moja kwenye foleni, muda huo unaweza kuutumia na kitabu vizuri tu.
Saa moja au nusu saa kabla ya muda wako wa kulala unaweza pia kujiwekea lengo walau usome kurasa 20 za kitabu kila siku muda huo, taratibu unajikuta ukifikia lengo.

Nimepunguza sana pia muda wa kutazama TV programs na series na muda ninaookoa hapo nauhamishia kwenye usomaji.
Episode moja ya series si chini ya nusu saa, kwa msomaji mzuri muda huo huo unaweza kuwa umesoma kurasa zako 20 vizuri tu.
 
My list is simply too long.

I just finished "Quantum: A Guide For The Perplexed". Fascinating insight into Quantum Physics.

I enjoy biographies. I am a big fan of David McCullough. His Pulitzer winner "Truman" makes you feel like you are living with the characters in the book. I enjoyed it very much when it came out.

I did enyoy The Hitchhikers Guide To The Galaxy immensely when I read it in the nineties. Adams must have been smoking some kind of mushrooms when he wrote this book. When I think of "Vogon poetry" sometime link that to some of our politicians speeches.

I am heavily biased towards non fiction. Economics, behavioral sciences (I just finished Malcolm Gladwell's "Talking to Strangers: What We Know About The People We Should Know", well worth the read) current affairsand politics (I recently read Francis Fukuyama's "Identity: The Demand Fir Dignity and The Politics of Resentment". It gave me a better understanding if people like Mohamed Said.

I like science. I enjoyed immensely Stephen Hawking's "A Brief History if Time: From The Big Bang to Black Holes" in the nineties. I recently read his posthumously published book "Brief Answers To The Big Questions".

I enjoy reading about philosophy and religion. "The Philosophy of Religion: An Anthology" was such an eye opener when I read it in the mid 1990s.

I am trying to get back into fiction. The last fiction book I read was "A Gentleman In Moscow" by Amor Towles. Fascinating read. It is another period piece that takes you from the pre-Bolshevik Russia to the revolution era and beyond, through the eyes if an aristocrat gentleman and a little girl, trapped in the grand hotel of Moscow.

I like essays. I recently gathered to courage to mount the brick sized tome that is Christopher Hitchen's "Arguably: Selected Essays" . The man has encycloepadic knowledge of extraordinary proportions.

I recently read "India: A Portrait" by Patrick French. Very goid for aquinting onesekf with the idiosyncracies of India.

Bill Bryson is another author I find very interesting. His "A Brief History of Nearly everything" was very fascinating. He has a new book about the body, I have bought it but I haven't had the pleasure if reading.

David W Blight's "Frederick Douglas: A Prophet if Freedom", a Pulitzer winner, was another fascinating read I devoured in the oast few months. I thought I knew a lot about Mr. Douglas, until I read this book.

These are some of the books I have enjoyed, mostly within the last 6 months, if not stated..

A full list would simply be too long.
Within the last six months? I am speechless but all you need now is an Oscar award.
People need to have a very high IQ to understand those books you've read. There are not for everyone. From your list , I've read only The Hitchhiker's Guide To The Galaxy, and I must admit, it's not for everyone. It requires a fairly high IQ To understand the book. I wish I NEVER read it, So I could read it again for the first time.
 
I have read these books
1. Think and Grow Rich by Napoleon Hill
2. As a Man Thinketh by James Allen
3. Who Will Cry When You Die by Robin Sharma
4. The Instant Millionaire by Mark Fisher
5. How to Win Friends and Influence People by Dale Carnegie
6. The Richest Man in Babylon by George Samuel Clason
7. Master of the Game by Sidney Sheldon
8. The Alchemist by Paul Coelho
Etc.


The overarching reason for reading those books is: They make me a better person day after day, I learn a lot of things, I discover some important secrets, just to mention a few.
Good, I finished Think and Grow Rich last year. It made me took at life differently. One thing Hill said and I liked is " Always do more what you are paid for''.

I read also How to Win Friends......many years ago. It helped me understand the basics of how to make small talk and why eye contact is important. helped me to think about making other people comfortable instead of worrying about my own anxiety. Taught me to avoid pointless argument. and because of this book, now i know how to make people feel important.
 
Thanks for the thread, hoby yangu namba moja ni kusoma vitabu..baadhi nilivyosoma karibuni na quotes nilizopenda!

-As a man thinketh by james allen-Circumtances does not make a man, it reveals him to himself

-Essay on self reliance by Ralph Waldo Emerson- in every work of genius we see our own rejected thoughts

-Hown to win friends and influence people by Dale carnegie- kuna part anamzungmzia aliyewahi kuwa balozi wa USA Ben franklin aliyewahi kusema i will speak ill of no man but i will speak all the good i know about every body..pia anadokeza mahali Confucios aliwahi kunukuliwa akisema to know is to know nothing, hiki kitabu na recommend usome kwa kila hali!

-Meditations by Marcus aurelius- the best book to combat daily life situations based on stoic philosophy!

KHAN!
 
Thanks for the thread, hoby yangu namba moja ni kusoma vitabu..baadhi nilivyosoma karibuni na quotes nilizopenda!

-As a man thinketh by james allen-Circumtances does not make a man, it reveals him to himself

-Essay on self reliance by Ralph Waldo Emerson- in every work of genius we see our own rejected thoughts

-Hown to win friends and influence people by Dale carnegie- kuna part anamzungmzia aliyewahi kuwa balozi wa USA Ben franklin aliyewahi kusema i will speak ill of no man but i will speak all the good i know about every body..pia anadokeza mahali Confucios aliwahi kunukuliwa akisema to know is to know nothing, hiki kitabu na recommend usome kwa kila hali!

-Meditations by Marcus aurelius- the best book to combat daily life situations based on stoic philosophy!

KHAN!
 
The Hitchhiker's Guide to the Galaxy: The Trilogy of four kuna mtu aliingia kwangu akakiiba wakati sijaanza hata kukisoma, halafu mbaya zaidi nimeachiwa nikisome na mtu mdogo wangu mwaka 2007 hiyo. Nakumbuka kuna siku mdogo wangu alikuwa anasoma kwa nguvu sura moja inasema something like "Thanks to all the fishes" hata nimesahau.
Thanks for all the fish, ni tittle ya fourth book ya Hitchhiker's Guide To The Galaxy na Maana yake ni kusema ''goodbye" na tittle yenyewe inasomeka "So Long and Thanks For All the Fish". Pole Malcon ni kitabu kizuri sana.

Arthur ''Reading it is unpleasantly like being drunk"

"What is so unleasant about being drunk?"

Arthur "You ask a glass of water" by Douglas Adams
Yaani kina mambo matamu sana.
 
Back
Top Bottom