Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Asante mwalimu wangu. Ila nyingine zile sio fact huwa ni conspiracy. Ila sawa nimeelewa.
Sawa mwanafunzi wangu. Nashukuru kwa kunielewa.

Ila zile siyo "Conspiracy" mwanafunzi wangu. Tuliache hili tutalijadili pweke kama mada maalumu.
 
Nakumbuka ulisema kuna kifaa sijui ni simu au kifaa gani ambacho kinabadili maneno yanakuwa ktk sauti kwa hyo unakuwa unasikiliza
Okay, ilikuwa ni comment number #988 kwenye hii thread nilijibu hivi ,


"Kama unatumia PDF au hardcopy na kwa sasa unataka kutumia audiobook ni rahisi. Unaangalia tuu malengo yako ni yapi.,

1.Upo bize na unataka kusikiliza huku unaendelea na shughuli nyingine.
2. Unataka usikilize kwa sababu wewe ni mvivu wa kusoma.
3. Unahitaji backup ya kukuwezesha kumaliza kitabu mapema na kujifunza "pronunciations". Hii inamaanisha unasoma huku unasikiliza at the same time.


Hii ya tatu niliitumia sana mimi niliitumia sana kwenye kunifanya niwe na speed ya kusoma. Mfano kitabu unaweza kukuta kina page 200 ambapo itakuchukua muda kukimaliza, lakini Audiobook yake ina masaa matano hadi sita.
Unanunua kitabu au hata kama ni PDF. Halafu kusikiliza Audio huku unafuatilizia maandishi kwenye kitabu chako.
Nikifika mahali pa kutake notes, au kucheka, aku kutafakari na pause kisha na play naendelea.
Hivyo kama Audio ina masaa matano hiki kitabu ni rahisi wewe kukimaliza ndani ya masaa 10( inategemea na ugumu/urahisi wa kitabu husika).


Audiobook ni record ya sauti ya MTU anayesoma kitabu. Yaani unasililiza mtu akisoma kitabu husika".
Hizi Audiobooks zinauzwa, ila kuna siku member mmoja ali-share app ambayo unaiweka kwenye simu inakusomea kitabu chochote.
 
Cc Siku za ajabu.
 
Nilikuwa na shida sana na PDF. Hadi nilipoipata hii App. Ina Reflow mode, ambayo inakuza maandishi kuwa kama Epub.
 

tunaomba suggestions chache tuanze kupata na ladha za huko Japan chief
Kama ukipenda kitabu cha Sun Tzu Art of War basi hiki nilichoweka hapa kinakua kama mpinzani wa kitabu cha sun Tzu. Ni kizuri sana nimekipenda kuliko hicho cha sun Tzu. Sun Tzu anahamasisha zaidi kumsambaratisha adui yako bila kumuonea huruma lakini huyu Ueshiba ansema kwamba kila mwanadamu ana anafasi ya kubadirika hata kama awe mbaya namna gani. Kila kiumbe kinahitaji kuishi na kinafaa kupewa second chance ya mabadiriko

I liked it so much...Hiki kitabu na Kitabu cha Marcus aurelius navitafuta nipate Hard copy yake. Vizuri sana kuvisoma✌️
 
Until you read WHITE TEETH by Zadie Smith, that's when you will know what the word funny really means..
 

asante sana Da’Vinci
 
Malipo ni baada au kabla?
 
mkuu paula paul nisa

idie kuvipata...
Hapana Step_Rocker sikuvipata. Nikivipata nitaweka. Ila sio vya Rhonda hivo, au wewe ulikuwa unataka The Secret na The Power ambazo ni za Rhonda?
 
Hapana Step_Rocker sikuvipata. Nikivipata nitaweka. Ila sio vya Rhonda hivo, au wewe ulikuwa unataka The Secret na The Power ambazo ni za Rhonda?
anha!!! nikadhani ni vya rhoda ila hivyo hapo ninavyo na nimesoma the power ukivipata ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…