Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Asante mwalimu wangu. Ila nyingine zile sio fact huwa ni conspiracy. Ila sawa nimeelewa.
Sawa mwanafunzi wangu. Nashukuru kwa kunielewa.

Ila zile siyo "Conspiracy" mwanafunzi wangu. Tuliache hili tutalijadili pweke kama mada maalumu.
 
Hivi hapa guys mwenye navyo vya rhoda byrne
Screenshot_2021-09-28-15-36-23.jpg
Screenshot_2021-09-28-15-36-29.jpg
 
Nakumbuka ulisema kuna kifaa sijui ni simu au kifaa gani ambacho kinabadili maneno yanakuwa ktk sauti kwa hyo unakuwa unasikiliza
Okay, ilikuwa ni comment number #988 kwenye hii thread nilijibu hivi ,

"Kama unatumia PDF au hardcopy na kwa sasa unataka kutumia audiobook ni rahisi. Unaangalia tuu malengo yako ni yapi.,

1.Upo bize na unataka kusikiliza huku unaendelea na shughuli nyingine.
2. Unataka usikilize kwa sababu wewe ni mvivu wa kusoma.
3. Unahitaji backup ya kukuwezesha kumaliza kitabu mapema na kujifunza "pronunciations". Hii inamaanisha unasoma huku unasikiliza at the same time.

Hii ya tatu niliitumia sana mimi niliitumia sana kwenye kunifanya niwe na speed ya kusoma. Mfano kitabu unaweza kukuta kina page 200 ambapo itakuchukua muda kukimaliza, lakini Audiobook yake ina masaa matano hadi sita.
Unanunua kitabu au hata kama ni PDF. Halafu kusikiliza Audio huku unafuatilizia maandishi kwenye kitabu chako.
Nikifika mahali pa kutake notes, au kucheka, aku kutafakari na pause kisha na play naendelea.
Hivyo kama Audio ina masaa matano hiki kitabu ni rahisi wewe kukimaliza ndani ya masaa 10( inategemea na ugumu/urahisi wa kitabu husika).

Audiobook ni record ya sauti ya MTU anayesoma kitabu. Yaani unasililiza mtu akisoma kitabu husika".
Hizi Audiobooks zinauzwa, ila kuna siku member mmoja ali-share app ambayo unaiweka kwenye simu inakusomea kitabu chochote.
 
Maisha yanaenda kasi sana,
Kwa wale ambao wanaona hawapati muda wa kusoma vitabu, napendekeza application inaitwa FOXIT PDF,
hii app
1. Ina mwanadada mmoja ambae atakusomea kitabu chako vizuri wakati wewe ukifanya kazi nyingine. Huhitaji kudownload audiobook. Pakua tu hii app kisha weka vitabu vyako vya pdf humo aanze kukusomea.
Uzuri ni kwamba unaweza chagua spidi ambayo utataka akusomee, kama ni taratibu au kwa kasi.
Pia ina option s nyingine nyingi tu, kama kukuza maneno bila kulazimika kuswipe screen wakati wa kusoma, night mode, kufungua page kama kitabu au kama word doc , kucopy quotes na kuzipaste kwingine nk. Adobe reader wana read mode ila sio nzuri kama hii,
Pia ukiidoenload hii app kwa pc , atasoma mwanaume kwenye simu atasoma mwanamke. Kwenye simu ndio mzuri.
Jaribu
Cc Siku za ajabu.
 
Nilikuwa na shida sana na PDF. Hadi nilipoipata hii App. Ina Reflow mode, ambayo inakuza maandishi kuwa kama Epub.
 
Screenshot_20210930-144932.png

tunaomba suggestions chache tuanze kupata na ladha za huko Japan chief
Kama ukipenda kitabu cha Sun Tzu Art of War basi hiki nilichoweka hapa kinakua kama mpinzani wa kitabu cha sun Tzu. Ni kizuri sana nimekipenda kuliko hicho cha sun Tzu. Sun Tzu anahamasisha zaidi kumsambaratisha adui yako bila kumuonea huruma lakini huyu Ueshiba ansema kwamba kila mwanadamu ana anafasi ya kubadirika hata kama awe mbaya namna gani. Kila kiumbe kinahitaji kuishi na kinafaa kupewa second chance ya mabadiriko

I liked it so much...Hiki kitabu na Kitabu cha Marcus aurelius navitafuta nipate Hard copy yake. Vizuri sana kuvisoma✌️
 
Hi,

I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind active and inshape and it makes a difference for me if I go long periods without reading books, my mind starts to stagnate.

My favorite book of all the time is East of Eden by John Steinbeck. I liked this book and I loved every page of it. To be honest this is a masterpiece. To this day still is one of the best motivational book I’ve ever read. I enjoyed it for the massages it provides. I have been reading the book and just got to these quotes “And now that, you don’t have to be perfect you can be good.” And “ If you want to be straight allow yourself to be crooked” etc. Truthfully this book gave me a little inspiration to pursue my goals.

Another one is The Hitchhiker’s Guide to the Galaxy by Douglas Adams. It’s the funniest book I have ever read. I’ve read the book many times, but still makes me laugh. I will share favorite part that I found myself re-reading, you know, Said Arthur,” It's at times like this when I m trapped in a Vogon...... And about to die of asphyxiation in deep space that I really wish I’d listened to what my mother told me when I was young”

“Why, what did she tell you?”

Arthur “ I don’t know, I didn’t listen”.
It’s so insanely funny and It reminds me that you shouldn’t take life so damn seriously.

Do you have any favorite book(s) you real like? Tell us about it, based on how good the book was, and why you think it was the best, what is the favorite part in it?

For those who don’t like reading, y'all should know that reading is the good way to learn new things, to see things in another perspective and to expand your creativity and linguistic skills.

Welcome guys.

G’day.
Until you read WHITE TEETH by Zadie Smith, that's when you will know what the word funny really means..
 
View attachment 1958360

Kama ukipenda kitabu cha Sun Tzu Art of War basi hiki nilichoweka hapa kinakua kama mpinzani wa kitabu cha sun Tzu. Ni kizuri sana nimekipenda kuliko hicho cha sun Tzu. Sun Tzu anahamasisha zaidi kumsambaratisha adui yako bila kumuonea huruma lakini huyu Ueshiba ansema kwamba kila mwanadamu ana anafasi ya kubadirika hata kama awe mbaya namna gani. Kila kiumbe kinahitaji kuishi na kinafaa kupewa second chance ya mabadiriko

I liked it so much...Hiki kitabu na Kitabu cha Marcus aurelius navitafuta nipate Hard copy yake. Vizuri sana kuvisoma[emoji3577]

asante sana Da’Vinci
 
Nakuunga na kifurushi Bei ndogo sana,
kuanzia GB 85 Miezi 3 Hadi GB 390 kwaMiezi 12, kukiwemo na dakika zakumwaga mitandao Yote,
Pia Nakuunga na vifurushi vya AZAM Tv MIEZI 3
DSTv MIEZI 3
STARTIMES MIEZI 3
UNAPATA CHANEL ZOTE KWA PAMOJA

PIA TUNAHACK MESSAGE & CALL

WhatsApp

+1360 351 4868
Malipo ni baada au kabla?
 
Back
Top Bottom