Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Nimekupenda bure paula una moyo mzuri sana barikiwa saaana..
 
Kupunguza mawazo natumia njia tatu, kwanza nayaeupuka, mbili naishi maisha ndani ya uwezo wangu, tatu jambo ambalo liko nje ya uwezo wangu huwa sipotezi nalo muda.
Sorry for the late response.

Njia ya kwanza umeandika unayaepuka, how? Yakija unayakimbia unajaribu kuwaza kitu kingine?

Have you ever read any book on stoicism?
 
Sorry for the late response.

Njia ya kwanza umeandika unayaepuka, how? Yakija unayakimbia unajaribu kuwaza kitu kingine?

Have you ever read any book on stoicism?
Kama jambo limejitokeza ambalo siwezi kabiliana nalo naachana nalo, sijihangaishi nalo kabisa.

Stoicism, sijawahi soma kabisa chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…