Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Okay, ilikuwa ni comment number #988 kwenye hii thread nilijibu hivi ,


"Kama unatumia PDF au hardcopy na kwa sasa unataka kutumia audiobook ni rahisi. Unaangalia tuu malengo yako ni yapi.,

1.Upo bize na unataka kusikiliza huku unaendelea na shughuli nyingine.
2. Unataka usikilize kwa sababu wewe ni mvivu wa kusoma.
3. Unahitaji backup ya kukuwezesha kumaliza kitabu mapema na kujifunza "pronunciations". Hii inamaanisha unasoma huku unasikiliza at the same time.


Hii ya tatu niliitumia sana mimi niliitumia sana kwenye kunifanya niwe na speed ya kusoma. Mfano kitabu unaweza kukuta kina page 200 ambapo itakuchukua muda kukimaliza, lakini Audiobook yake ina masaa matano hadi sita.
Unanunua kitabu au hata kama ni PDF. Halafu kusikiliza Audio huku unafuatilizia maandishi kwenye kitabu chako.
Nikifika mahali pa kutake notes, au kucheka, aku kutafakari na pause kisha na play naendelea.
Hivyo kama Audio ina masaa matano hiki kitabu ni rahisi wewe kukimaliza ndani ya masaa 10( inategemea na ugumu/urahisi wa kitabu husika).


Audiobook ni record ya sauti ya MTU anayesoma kitabu. Yaani unasililiza mtu akisoma kitabu husika".
Hizi Audiobooks zinauzwa, ila kuna siku member mmoja ali-share app ambayo unaiweka kwenye simu inakusomea kitabu chochote.
Nimekupenda bure paula una moyo mzuri sana barikiwa saaana..
 
Kupunguza mawazo natumia njia tatu, kwanza nayaeupuka, mbili naishi maisha ndani ya uwezo wangu, tatu jambo ambalo liko nje ya uwezo wangu huwa sipotezi nalo muda.
Sorry for the late response.

Njia ya kwanza umeandika unayaepuka, how? Yakija unayakimbia unajaribu kuwaza kitu kingine?

Have you ever read any book on stoicism?
 
Sorry for the late response.

Njia ya kwanza umeandika unayaepuka, how? Yakija unayakimbia unajaribu kuwaza kitu kingine?

Have you ever read any book on stoicism?
Kama jambo limejitokeza ambalo siwezi kabiliana nalo naachana nalo, sijihangaishi nalo kabisa.

Stoicism, sijawahi soma kabisa chochote.
 
Back
Top Bottom