Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

The only fact that I have in my mind ni kwamba “Kununua kitabu ni MOJA, lakini kukisoma ni MBILI”

Hivi vitu haviko pamoja kabisa.

Nakumbuka niliwahi kununua kitabu kipindi nipo kwenye likizo yangu ya masomo, kinaitwa EGO IS THE ENEMY cha bwana Ryan Holiday. Ni kitabu kifupi sana na sio kwamba niliambiwa na mtu.

Lakini mpaka leo nakiangalia tu.

Nichukue nafasi hii kuwapongeza sana wasomi wa vitabu, mkiongozwa na bibie Paula Paul . Kwa hakika mna mioyo ya kipekee.
 
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hapana. Labda unitambulishe kwenye eneo hilo kwa kunipa kitabu unachoona kitanifaa.
As you are new to stoicism, I think "The Enchridion" is the good place to start.
It's really short and it helps a lot. You can study one chapter a day. Here's the book ,
 
Attachments

Thank you MalcolM XII.
Mpaka sasa haujawahi kusoma kitabu chochote na kukimaliza?
 
Paula, kwa hapa bongo wapi wanauza vitabu vile 2nd hand at least bei yake isizidi 10. Maana sie wengine ni wavivu wa kusoma kwenye kwa pdf pages zote hizo. Macho yanauma hata nikipunguza mwanga
 
Paula, kwa hapa bongo wapi wanauza vitabu vile 2nd hand at least bei yake isizidi 10. Maana sie wengine ni wavivu wa kusoma kwenye kwa pdf pages zote hizo. Macho yanauma hata nikipunguza mwanga
Hapana sifahamu, thegreen. Ila kuna watu wameandika humu kwamba wanauza nikiwakumbuka nitawaita.
Pole sana , unatumia Kindle au simu?
 
Kama unaweza, elezea kidogo. Ikoje na inafanyaje kazi.
Hizi device zinauzwa Amazon, ni kama tablet kwa mwonekano wa nje. Lakini yenyewe ni maalumu kwa kusomea. Haziumizi macho kabisa.

Ukiwa na hii device unaweza kuitumia kununua vitabu kutoka amazon na kusoma na kusikiliza audiobooks. Pia ili uweze kudownload vitabu itai connect kwenye Wi-Fi. Naomba niulize swali nikujibu niliposahau.
 
Tofauti yake na tablet zaidi ya kwamba haiumizi macho ni nini?
 
Paula, kwa hapa bongo wapi wanauza vitabu vile 2nd hand at least bei yake isizidi 10. Maana sie wengine ni wavivu wa kusoma kwenye kwa pdf pages zote hizo. Macho yanauma hata nikipunguza mwanga
Nenda Twitter au Telegram, tafuta Lee Books. Huyo dada anauza second hand books kwa bei hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…