Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Great response, thank you for writing .

Good for you for achieving what you set out to do. You should definitely congratulate yourself, 7 mchana.
 
Habari Paula Paul, naomba soft copy ya Romeo and Juliet, natanguliza shukrani zangu.
Hello, uujn.
Okay, Nina graphic novel version ya Romeo and Juliet. I hope utapenda.
Pia kama utapenda Romeo and Juliet, utafute pia "The Merchant of Venice" by Shakespeare.
 

Attachments

Ila softcopies zinarahisisha sana usomaji. Nimemaliza kusoma hiki kitabu na ndiyo nimeona hardcopy yake ilivyo. Sasa mkitabu kama huu ningeanzia wapi kusoma? Watu wangenifuma nasoma mkitabu kama huu ningeweka wapi sura yangu😀😀

Tuendelee tu kupirate(aibu yetu) au kununua huko kindle, hizi harcopy tutakuja tengwa.

BTW, hiki kitabu bora sana. Kimenibadilisha sana mtazamo wangu juu ya Africa.


 
Red Giant kuna kitu unakosa kwa kuchagua Ebooks. Unajua ni nini?
The smell of books. Vitabu vinanukia vizuri sana.

Old books zina harufu ambayo kama upo na huzuni ukinusia huzuni zinaisha. Halafu hizi new books sasa, harufu zake sijui nikuelezeaje.
 
Kumbe kwenye hardcopy kinaonekana kikubwa namna hii. [emoji2]
 
Nadhani ni kama pages 700 (maana nilikisoma kwenye epub, ambayo ni kama 1500 pages.
Oh sawa, ila pia 700 ni pages nyingi sana.

Halafu kuna materia nadhani yakitumika kitabu kinaonekana kikubwa ila pages ni chache, halafu kinakuwa chepesi hivi.

Hii nimeona sana kwa vitabu ambavyo ndio vimetoka kwa mara ya kwanza na kuingia sokoni. Lakini baada ya kufanya vizuri, kitabu hicho hicho kinarudi kwa paperback na kinakuwa kidogo.

Sijui kama utaelewa ninachojaribu kuandika, nimejicheka.
 
[emoji2], nimekuelewa vyema kabisa.

Nadhani kinachofanyika ni kupunguza font size na kuongeza margin cover kwenye page. Ambayo itapunguza idadi ya karatasi hence ukubwa wa kitabu.
 
Kuna ukweli, harcopy zina ladha yake. Vitu vidogo kama kuona picha ya kwenye cover kila mara vinaongeza mvuto. Lakini fikiria mtu anikute nasoma huo mkitabu, nitajiteteaje😀.
 
Ningepewa harcopy sidhani kama ningeanza kusoma[emoji3] unakionaje hiki kitabu? Umesoma kile The Fate of Africa.
Aise kimeshiba.

Kwa kweli siku hizi nimeganda zaidi kwenye softcopy kwa sababu ya convenience yake kwenye usomaji mf urahisi wa dictionary na pia portability.

Fates of Africa bahati mbaya sijawahi na ni moja ya kitabu kilichopo kwenye TBR list yangu kwa miaka mingi.
 
Kuna ukweli, harcopy zina ladha yake. Vitu vidogo kama kuona picha ya kwenye cover kila mara vinaongeza mvuto. Lakini fikiria mtu anikute nasoma huo mkitabu, nitajiteteaje😀.
Kweli sielewi utajiteteaje, inabidi usome ukiwa ndani mgeni akija unaficha.

Ila inategemea una umri gani, kwa mfano wababa ndio vitabu vyao hivo. Ukikuta bookshelf zao unakata tamaa mambo ya kusoma.

Fikiria kitabu kinaonekana kikubwa kuliko hata Bible.
 
Nimekula madini kadhaa mpaka naona kama kichwa kimesizi. Hebu kama uko na soft copy ya novel yoyote ya mzee Sheldon, nifanyie hisani nilainishe ubongo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…