Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #2,841
Hapa nilikuwa na kazi ya kusoma kimoja kimoja. Ila kabla sijajua ni vitabu gani nilikuwa nataka kukuuliza, huwa unafanya nini na hivi vitabu baada ya kuvisoma? Ila nimepata jibu ni lazima vitunzwe na kurudiwa kusomwa mara kwa mara.Sasa kwa vile sijui harufu ya weed, nashindwa kujua kama hii ni weed au ndio harufu ya karatasi chakavu.
Ila inaweza ikawa harufu ya weed, nimeona kuna jamaa amempost yule kiongozi wa Sudan kusini yuko na mzigo kama huu...
View attachment 1980037
Hongera sana. Ni vya kwako, bila shaka.