Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Sasa kwa vile sijui harufu ya weed, nashindwa kujua kama hii ni weed au ndio harufu ya karatasi chakavu.

Ila inaweza ikawa harufu ya weed, nimeona kuna jamaa amempost yule kiongozi wa Sudan kusini yuko na mzigo kama huu...

View attachment 1980037
Hapa nilikuwa na kazi ya kusoma kimoja kimoja. Ila kabla sijajua ni vitabu gani nilikuwa nataka kukuuliza, huwa unafanya nini na hivi vitabu baada ya kuvisoma? Ila nimepata jibu ni lazima vitunzwe na kurudiwa kusomwa mara kwa mara.
Hongera sana. Ni vya kwako, bila shaka.
 
Sijavisoma vyote PP, nimemaliza baadhi, vingine nimesoma sehemu tu nnayoona naihitaji kujua kitu kwa wakati huo, vingine sijasoma kabisa, nimevihifadhi for future use.

Ila kimsingi ni mkwara tu. Hivyo ni ya vitabu vingi nilivyonavyo lakini sehem kubwa viko makao makuu.

Ni vibaya kuwa na ka Library nyumbani ili niifurahie harufu ya karatasi (weed) vizuri?
 
Hivi huu uzi kwanini mods wasiuweke kule juu tuwe tunaukuta huko kila siku.

Asante sana ulieanzisha huu uzi nimepata vitabu vya kutosha hapa kila siku lazima nisome chapter kadhaa.

Kusoma kuna raha yake nipo mdogomdogo na east of eden.
 
Sio vibaya kabisa. Harufu ya weed na ile ya fresh ink.
Sasa inafaa utengeneze bookcase karibu na kitanda. Hapo utafurahia zaidi.
 
Hivi huu uzi kwanini mods wasiuweke kule juu tuwe tunaukuta huko kila siku.

Asante sana ulieanzisha huu uzi nimepata vitabu vya kutosha hapa kila siku lazima nisome chapter kadhaa.

Kusoma kuna raha yake nipo mdogomdogo na east of eden.
I am glad you find it useful, sawima.
 
Najuta na kuulaumu mfumo wetu wa elimu uliotupelekea kuwa mbali na dunia, haswa kwenye lugha ya kiingereza.

Kusoma vitabu ilikua ni hob yangu lakini nimeisia kwenye biblia tuu kwa sababu ya lugha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisoma kiingereza hauelewi kabisa? Ukinijibu nitakushauri kitu.

Hata hivyo nimefurahi kukuona, Pendael24. How are you?
 
Mkuu hata kama huyu hatokujibu naomba wewe utoe mchango kwa wale ambao hawaelewi kabisa vitabu hivyo,ama inakuwa ngumu kwao kuelewa sentence imekusudia nini kutokana na kutokujua maneno mengi.

Nasubiri kwa shauku sana huo ushauri kwa sababu ninaamini kwa 80% utanifaa.
 
Nilipanga nisome kitabu fulani,lakini kwa sasa nimekuwa nachagua sehemu za kusoma.

Nimekuwa mtu ambae sipendi vitabu vya stori za watu,kama kile cha "think big" nimeshindwa kwa sababu kina story nyingi sana.

Ila vitabu kama the secret,the magic,the power hivi nilivimaliza kwa sababu havina stori za watu.

Nimegundua sina interest kabisa na vitabu vya aina hii na hiyo nadhani sababu kubwa ni kuwa inakubidi uielwwe hii lugha ipasavyo ndipo utaelewa stori kama hizo,ila mimi nakuwa sielewi kwa sababu ya ujanja ujanja kwenye hii lugha ya watu weupe,hivyo inanipasa nisome maeneo ambayo hayana stori tu kwa sababu lugha yake ni rahisi na haina tenses😀😀😀.

Hata poor dady rich dady niliishia njiani kwa sababu ya stori kadha wa kadhaa.

Mkuu naamini unaweza kushauri kitu katika hili
 
Ukisoma kiingereza hauelewi kabisa? Ukinijibu nitakushauri kitu.

Hata hivyo nimefurahi kukuona, Pendael24. How are you?
Mimi sijambo, nimefurahi pia kwa uwepo wako, muda kidogo tumepotezana!

Naweza kusoma karibu kwa usahihi neno la kiingereza, karibu maneno yote hakuna linalonishinda.

Kile ninachokisoma nakielewa ila nikijua ninini ninacho kusoma, yaan kwa mfano nasoma makala fulani ihusuyo siasa, hapo naelewa mwandishi anachosema, baadhi ya maneno sielewi ila ila natembea kwenye lengo la mwandishi kujaribu kupata kitu.

Sasa kwenye vitabu sasa!!
Nilijaribu wakati fulani kusoma biblia ya kiingereza, kusoma naweza ila kuelewa sio kwa ukamilifu, ndipo nikaona isiwe shida kiingereza sio kwa kila mtu.
 
Misamiati iliyotumika kwenye bible ya kiingereza ni ya miaka mingi sana, hata mtu anayekijua kiingereza anaweza kutoka mtupu bila msaada wa kamusi.
 
Nakupa kimoja ili urudi uniambie namna umekipenda ndiyo nikupe kingine.
Nimemalizana na "if tomorrow comes", nimepiga na "wind mills of the gods".

Jumatano insha'Allah, nitaanza "Doomsday conspiracy" kama nitakua nimemalizana na hiki nilichokianza leo!
 
Mkuu hata kama huyu hatokujibu naomba wewe utoe mchango kwa wale ambao hawaelewi kabisa vitabu hivyo,ama inakuwa ngumu kwao kuelewa sentence imekusudia nini kutokana na kutokujua maneno mengi.

Nasubiri kwa shauku sana huo ushauri kwa sababu ninaamini kwa 80% utanifaa.
Sawa safuher, ninakuja kuandika. Namalizia kitu.
 
Back
Top Bottom