Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Paula Paul Red Giant

Tukizungumzia concept itokanayo na quote kutoka kwenye kitabu cha The Alchemist, "When you what something, All The whole universe conspires against you achieving it".
Pia ikumbukwe imezungumzwa kwenye vitabu kama
1. Think and grow Rich by Napolean Hill ( what a brain of man can conceive and believe it can be achieved ),
2.The Secret by Rhoda Berne,
3.The Master Key System
4.The power of Subconscious Mind
you name it.
Vyote vimezungumzia kitu hii.

Concept hii nimeikuta kwenye vitabu vingi sana , Tena katika discipline tofauti tofauti ikijumuisha Self help, Inventions, Sales and Selling, Business, Success you name it.
Bila kusahau kuna-hundreds of youtube videos, watu mbali mbali wakielezea jambo hili.
Tukumbuke pia nasi tunamsemo usemao "Lisemalo lipo, kama alipobasi laja"
Mimi ni nani mpaka nisisadiki wokovu huu ama concept hii, Yote sababu mwaka huu nimeishi kwenye matamanio yangu matatu ambayo kuanzia last year niliyatamani.
Great response, thank you for writing .

Good for you for achieving what you set out to do. You should definitely congratulate yourself, 7 mchana.
 
Habari Paula Paul, naomba soft copy ya Romeo and Juliet, natanguliza shukrani zangu.
Hello, uujn.
Okay, Nina graphic novel version ya Romeo and Juliet. I hope utapenda.
Pia kama utapenda Romeo and Juliet, utafute pia "The Merchant of Venice" by Shakespeare.
 
Attachments

Ila softcopies zinarahisisha sana usomaji. Nimemaliza kusoma hiki kitabu na ndiyo nimeona hardcopy yake ilivyo. Sasa mkitabu kama huu ningeanzia wapi kusoma? Watu wangenifuma nasoma mkitabu kama huu ningeweka wapi sura yangu😀😀

Tuendelee tu kupirate(aibu yetu) au kununua huko kindle, hizi harcopy tutakuja tengwa.

BTW, hiki kitabu bora sana. Kimenibadilisha sana mtazamo wangu juu ya Africa.

13-1 (2).jpg
 
View attachment 1977092
Red Giant kuna kitu unakosa kwa kuchagua Ebooks. Unajua ni nini?
The smell of books. Vitabu vinanukia vizuri sana.

Old books zina harufu ambayo kama upo na huzuni ukinusia huzuni zinaisha. Halafu hizi new books sasa, harufu zake sijui nikuelezeaje.
 
Ila softcopies zinarahisisha sana usomaji. Nimemaliza kusoma hiki kitabu na ndiyo nimeona hardcopy yake ilivyo. Sasa mkitabu kama huu ningeanzia wapi kusoma? Watu wangenifuma nasoma mkitabu kama huu ningeweka wapi sura yangu[emoji3][emoji3]

Tuendelee tu kupirate(aibu yetu) au kununua huko kindle, hizi harcopy tutakuja tengwa.

BTW, hiki kitabu bora sana. Kimenibadilisha sana mtazamo wangu juu ya Africa.

View attachment 1977092
Kumbe kwenye hardcopy kinaonekana kikubwa namna hii. [emoji2]
 
Nadhani ni kama pages 700 (maana nilikisoma kwenye epub, ambayo ni kama 1500 pages.
Oh sawa, ila pia 700 ni pages nyingi sana.

Halafu kuna materia nadhani yakitumika kitabu kinaonekana kikubwa ila pages ni chache, halafu kinakuwa chepesi hivi.

Hii nimeona sana kwa vitabu ambavyo ndio vimetoka kwa mara ya kwanza na kuingia sokoni. Lakini baada ya kufanya vizuri, kitabu hicho hicho kinarudi kwa paperback na kinakuwa kidogo.

Sijui kama utaelewa ninachojaribu kuandika, nimejicheka.
 
[emoji2], nimekuelewa vyema kabisa.

Nadhani kinachofanyika ni kupunguza font size na kuongeza margin cover kwenye page. Ambayo itapunguza idadi ya karatasi hence ukubwa wa kitabu.
 
Red Giant kuna kitu unakosa kwa kuchagua Ebooks. Unajua ni nini?
The smells of books. Vitabu vinanukia vizuri sana.

Old books zina harufu ambayo kama upo na huzuni ukinusia huzuni zinaisha. Halafu hizi new books sasa, harufu zake sijui nikuelezeaje.
Kuna ukweli, harcopy zina ladha yake. Vitu vidogo kama kuona picha ya kwenye cover kila mara vinaongeza mvuto. Lakini fikiria mtu anikute nasoma huo mkitabu, nitajiteteaje😀.
 
Ningepewa harcopy sidhani kama ningeanza kusoma[emoji3] unakionaje hiki kitabu? Umesoma kile The Fate of Africa.
Aise kimeshiba.

Kwa kweli siku hizi nimeganda zaidi kwenye softcopy kwa sababu ya convenience yake kwenye usomaji mf urahisi wa dictionary na pia portability.

Fates of Africa bahati mbaya sijawahi na ni moja ya kitabu kilichopo kwenye TBR list yangu kwa miaka mingi.
 
Kuna ukweli, harcopy zina ladha yake. Vitu vidogo kama kuona picha ya kwenye cover kila mara vinaongeza mvuto. Lakini fikiria mtu anikute nasoma huo mkitabu, nitajiteteaje😀.
Kweli sielewi utajiteteaje, inabidi usome ukiwa ndani mgeni akija unaficha.

Ila inategemea una umri gani, kwa mfano wababa ndio vitabu vyao hivo. Ukikuta bookshelf zao unakata tamaa mambo ya kusoma.

Fikiria kitabu kinaonekana kikubwa kuliko hata Bible.
 
Nimekula madini kadhaa mpaka naona kama kichwa kimesizi. Hebu kama uko na soft copy ya novel yoyote ya mzee Sheldon, nifanyie hisani nilainishe ubongo mkuu.
 
Back
Top Bottom