Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Mabior. Ndiye yeye.
Mtata sana, na aina ya vitabu anasoma atakuwa wa misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi. Lakini mbali na yote, mtu anayewoma namna hiyo anakuwa na uelewa mpana sana. Nimekuja kugundua kuwa unaposoma kitabu, unakutana na maarifa mengine mengi ambayo hukutarajia. Na unashangaa hayo ndiyo mawazo makuu unaondoka nayo, tofauti na wazo kuu la kitabu.
 
Nimekula madini kadhaa mpaka naona kama kichwa kimesizi. Hebu kama uko na soft copy ya novel yoyote ya mzee Sheldon, nifanyie hisani nilainishe ubongo mkuu.
Nikupe The Doomsday Conspiracy? Au If Tomorrow Comes? Au Windmill of the Gods? Nataka nikupe kimoja ila sijui kipi kati ya hivo.
 
Mtazamo kuhusu Maendeleo ya afrika kutokana na kiwango cha uelewa wa historia ya ulimwengu.

0%: Waafrika ni masikini kwa sababu ni wavivu.
50%: Waafrika ni masikini sababu ya Unyonyaji wa wazungu.
100%: Ni hulka ya wanadamu kunyonyana, ukilemaa unanyonywa.
 
Nikupe The Doomsday Conspiracy? Au If Tomorrow Comes? Au Windmill of the Gods? Nataka nikupe kimoja ila sijui kipi kati ya hivo.

Roho mbaya umeanza lini na nani amekufundisha?

Mpatie vyote, ataangalia mwenyewe kipi kitamvutia kuanza nacho PP.

Mikono yangu mikavu ile adhabu yetu sitapenda kabisa nikupatie, ntakuumiza.
 
Any of those madame, au kama vipi tupia vyote hapa ili nisirudi tena kusumbua!

[emoji3][emoji3]
Nakupa kimoja ili urudi uniambie namna umekipenda ndiyo nikupe kingine.
 

Attachments

Roho mbaya umeanza lini na nani amekufundisha?

Mpatie vyote, ataangalia mwenyewe kipi kitamvutia kuanza nacho PP.

Mikono yangu mikavu ile adhabu yetu sitapenda kabisa nikupatie, ntakuumiza.
Nikimpa vyote nitamkosa kwa muda mrefu sana. Kwahiyo bora kimoja arudi baada ya week.
Ile adhabu? Utaweza? Usinilazimishe nikufanye u-suffocate, The Monk.
 
Yes the smell of decaying paper au hiyo inanukia weed?
The Monk na wewe ni book sniffer?

Sasa kwa vile sijui harufu ya weed, nashindwa kujua kama hii ni weed au ndio harufu ya karatasi chakavu.

Ila inaweza ikawa harufu ya weed, nimeona kuna jamaa amempost yule kiongozi wa Sudan kusini yuko na mzigo kama huu...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…