Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Huyu jamaa si alikuwa waziri huko South Sudan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa si alikuwa waziri huko South Sudan?
Mabior. Ndiye yeye.Huyu jamaa si alikuwa waziri huko South Sudan?
Mtata sana, na aina ya vitabu anasoma atakuwa wa misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi. Lakini mbali na yote, mtu anayewoma namna hiyo anakuwa na uelewa mpana sana. Nimekuja kugundua kuwa unaposoma kitabu, unakutana na maarifa mengine mengi ambayo hukutarajia. Na unashangaa hayo ndiyo mawazo makuu unaondoka nayo, tofauti na wazo kuu la kitabu.Mabior. Ndiye yeye.
Nikupe The Doomsday Conspiracy? Au If Tomorrow Comes? Au Windmill of the Gods? Nataka nikupe kimoja ila sijui kipi kati ya hivo.Nimekula madini kadhaa mpaka naona kama kichwa kimesizi. Hebu kama uko na soft copy ya novel yoyote ya mzee Sheldon, nifanyie hisani nilainishe ubongo mkuu.
Red Giant kuna kitu unakosa kwa kuchagua Ebooks. Unajua ni nini?
The smell of books. Vitabu vinanukia vizuri sana.
Old books zina harufu ambayo kama upo na huzuni ukinusia huzuni zinaisha. Halafu hizi new books sasa, harufu zake sijui nikuelezeaje.
Any of those madame, au kama vipi tupia vyote hapa ili nisirudi tena kusumbua!Nikupe The Doomsday Conspiracy? Au If Tomorrow Comes? Au Windmill of the Gods? Nataka nikupe kimoja ila sijui kipi kati ya hivo.
Mtazamo kuhusu Maendeleo ya afrika kutokana na kiwango cha uelewa wa historia ya ulimwengu.Mtata sana, na aina ya vitabu anasoma atakuwa wa misimamo mikali dhidi ya nchi za magharibi. Lakini mbali na yote, mtu anayewoma namna hiyo anakuwa na uelewa mpana sana. Nimekuja kugundua kuwa unaposoma kitabu, unakutana na maarifa mengine mengi ambayo hukutarajia. Na unashangaa hayo ndiyo mawazo makuu unaondoka nayo, tofauti na wazo kuu la kitabu.
Nikupe The Doomsday Conspiracy? Au If Tomorrow Comes? Au Windmill of the Gods? Nataka nikupe kimoja ila sijui kipi kati ya hivo.
Niluanza kusoma The subtle art of not giving a Fvck. Kilianza moto sana, kufika maeneo ya kati nikaona kinaanza repetetion hivi. Nilishindwa kukimaliza. Sijui mpaka mwisho kilikuwaje lakini naona kinaendana na mchoro.View attachment 1979492
Ushakutana na hili? 😃
Yes the smell of decaying paper au hiyo inanukia weed?
Nakupa kimoja ili urudi uniambie namna umekipenda ndiyo nikupe kingine.Any of those madame, au kama vipi tupia vyote hapa ili nisirudi tena kusumbua!
[emoji3][emoji3]
Nikimpa vyote nitamkosa kwa muda mrefu sana. Kwahiyo bora kimoja arudi baada ya week.Roho mbaya umeanza lini na nani amekufundisha?
Mpatie vyote, ataangalia mwenyewe kipi kitamvutia kuanza nacho PP.
Mikono yangu mikavu ile adhabu yetu sitapenda kabisa nikupatie, ntakuumiza.
Yes the smell of decaying paper au hiyo inanukia weed?
The Monk na wewe ni book sniffer?
Nikimpa vyote nitamkosa kwa muda mrefu sana. Kwahiyo bora kimoja arudi baada ya week.
Ile adhabu? Utaweza? Usinilazimishe nikufanye u-suffocate, The Monk.
Ok madameNakupa kimoja ili urudi uniambie namna umekipenda ndiyo nikupe kingine.