Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Unataka uongeze kingine kwenye hiyo milima miwili ilio kuzidi urefu? Lol.
Sina PDF ila wewe tafuta Paperback maana macho yenyewe hayo mabovu. Ebooks tuachie sisi.

Ahsante Paula Paul , ntakitafuta, si unajua mie mzee wa ku pile up?

Ni jukumu na wajibu wa kila mmoja wetu kutunza na kujali macho yetu. Ukiweza kuchanganya PDF na Hard cover napo sio mbaya. Macho na hizi gadgets sio rafiki sana.
 
Hicho unaongelea 48 laws of power kipo kama The rules of War kimeandikwa na somebody mchina flani?

Nilikisoma cha 48 rules of power, nikafika sehemu anasema mambo ya kuabudiwa, nikakirusha pembeni kwanza.

Au mnaongelea 48 gani?

Shukrani
33 strategies of war ndio inafanana zaidi na art of war ya Sun Tzu kimuktadha, kuliko 48 laws.
 
33 strategies of war ndio inafanana zaidi na art of war ya Sun Tzu kimuktadha, kuliko 48 laws.

Well said Brother. Nashukuru pia kwa hiyo link ya vitabu uliweka hapo juu. Nimeshapakua vitabu kadhaa.

Hata hicho cha Thinking nimeambiwa nisome na Professor Paula nimekipata. Ntaanza kudonoa nikiwa natafuta hard cover. Ntazura sana mjini leo kwenye bookshops kukisaka.

Barikiwa mkuu
 
Ahsante Paula Paul , ntakitafuta, si unajua mie mzee wa ku pile up?

Ni jukumu na wajibu wa kila mmoja wetu kutunza na kujali macho yetu. Ukiweza kuchanganya PDF na Hard cover napo sio mbaya.
Ndio najua, and that you are suffocating under a mountain of unread books.
Kidding.
 
Well said Brother. Nashukuru pia kwa hiyo link ya vitabu uliweka hapo juu. Nimeshapakua vitabu kadhaa.

Hata hicho cha Thinking nimeambiwa nisome na Professor Paula nimekipata. Ntaanza kudonoa nikiwa natafuta hard cover. Ntazura sana mjini leo kwenye bookshops kukisaka.

Barikiwa mkuu
Haupendi paperback version? Hardcover ni nzuri ila sijui kwanini naona sio rafiki wakati wa kusoma. Halafu pia ni expensive.
 
Nitafanya hivyo.

Huyu Meyer ndio nimemfahamu jana baada ya kupata suggestions zake Goodreads. Kwa kumention hiyo Fever, utanipa ulafi sasa[emoji2].
It's a great read.
Ni kuhusu pendamic (kama Coronavirus, ambayo uliua 90% of the population) and survival tale.

But I am afraid that, Post-apocalyptic dystopia is not really your cup of tea.
 
It's a great read.
Ni kuhusu pendamic (kama Coronavirus, ambayo uliua 90% of the population) and survival tale.

But I am afraid that, Post-apocalyptic dystopia is not really your cup of tea.
No, napenda sana kusoma kuhusu majanga na jinsi gani wanadamu wanakabiliana nayo. Hiyo ni topic muhimu sana kwa wanadamu.
 
Great Adventure novel : Robinson Crusoe by Daniel Defoe

Learn English with Stories

Story below is in audio text format language : English

Source : Academia do Inglês

COLONIALISM AND CAPITALIST IDEOLOGY IN ROBINSON CRUSOE​

Authors​

  • Stefan Čizmar

Keywords:​

ideology, colonialism, capitalism, Defoe, Robinson Crusoe

Abstract​

This paper will aim to analyse the ways in which Robinson Crusoe corresponds with the ideology of early colonial capitalism which was burgeoning in Defoe’s time, and of which he was a great proponent. Arguably, the novel presents the worldview of the flourishing capitalist class to which Defoe belonged, especially concerning the matters of trade, entrepreneurship, and colonial rule. This is particularly present in Crusoe’s actions upon becoming shipwrecked, which embody the Protestant ethics of hard work, and also in the way he observes the island as his colonial dominion and Friday as his natural servant. The paper will seek to describe how the novel illustrates the economic background which leads to colonialism, and how the two give rise to a particular ideology which was present not just in Defoe’s time, but in various shapes survives until today. For that purpose, the paper will rely on the way in which Terry Eagleton views and defines ideology, in the hope of giving an insight into the interplay of material conditions and ideology in the novel
 
Uandishi una mbinu nyingi za kumfanya msomaji azidi kufunua kurasa. Moja ya njia na pale muandishi anapowatengeneza wahusika fulani wako na uelekeo wa kufurahia uumbaji wa Mungu'. Msomaji unajikuta unazidi kusoma kuona kama 'yatatimia'. [emoji2]

Screenshot_20211107-082730_1.jpg

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Uandishi una mbinu nyingi za kumfanya msomaji azidi kufunua kurasa. Moja ya njia na pale muandishi anapowatengeneza wahusika fulani wako na uelekeo wa kufurahia uumbaji wa Mungu'. Msomaji unajikuta unazidi kusoma kuona kama 'yatatimia'. [emoji2]

View attachment 2002886

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Yeah, Unakuta msomaji pia anatengeneza movie kichwani kwake vile anavyoendelea kusoma. Wakati mwingine unasahau kabisa kama unasoma .

Hii ni Blood Safari, umemaliza?
 
Erotic movies sometimes.

Yeah, nimekimaliza juzi.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ndiyo.
Mimi napenda sana hiyo hali. Tena mimi unakuta naangalia tu karatasi sisomi tena naanza kuendeleza hiyo hadithi mwenyewe ninavyotaka iwe. Hadi nashtuka nasema haya sasa Paula acha ujinga endelea kusoma.

Hongera sana. Sasa hivi una kipi? Meditations ulikiweza au ulimwengu wa stoicism ni mgumu?
 
Kuwaza baadhi ya 'ujinga' ni vizuri kwa afya ya akili.

Naendelea na cha Jared Diamond—The world untill Yesterday; Pia nimeanza, ulichoniamrisha cha 50th Law. Sijui kwanini nimekitazama tofauti kwa sasa tofauti na mwanzo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
View attachment 2005839
 
Ndiyo.
Mimi napenda sana hiyo hali. Tena mimi unakuta naangalia tu karatasi sisomi tena naanza kuendeleza hiyo hadithi mwenyewe ninavyotaka iwe. Hadi nashtuka nasema haya sasa Paula acha ujinga endelea kusoma.

Hongera sana. Sasa hivi una kipi? Meditations ulikiweza au ulimwengu wa stoicism ni mgumu?
You have to slow down a lit bit. What you gave me, i think is for 'advanced learners'; I'm just a beginner on stoicism, probably you should give me something more suitable!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
You have to slow down a lit bit. What you gave me, i think is for 'advanced learners'; I'm just a beginner on stoicism, probably you should give me something more suitable!

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Oh , I see.
That was "The Enchiridion ", right?
Don't give up, ukipata muda kisome tena you will end up loving the new world it opens to you.
 
Back
Top Bottom