Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hizo sababu fulani unaweza kushare nasi T14 Armata.
 
Kuna wakati yanakuja mawazo kuhusu dunia na yanayoendelea huwa napata picha tofauti ya kile kinachoonekana kwa wakati huo na kile ambacho mimi nakiona kwa jicho jingine, ambacho nikifikiria kama nitamshirikisha mtu anaweza kuniona chizi 😅
 
Asante sana kwa pongezi na Hongera sana , Kusoma vitabu 20 kwa mwaka si mchezo.
 
Hizo sababu fulani unaweza kushare nasi T14 Armata.
Mfano hii Divine supermarket inaelezea historia ya imani za kidini kama Mormons na SDA, setting yake ni USA. Ukisoma kinatoa mwanga ni kwa jinsi gani dini ni biashara kwa kiasi flani. Hiyo Undercover economist ndo inaelezea mfano kwa nini unakutana na mtu anauza kahawa airport afu mwingine anauza kahawa hiyohiyo Buguruni uswahiluni uko. Hiyo Alfu Lela Ulela hakuna mtu hajui,nlianza kuisoma niko standard 5 nikiwa sijui ni nini. Baadae nakuja kukutana nacho but version zake ndo tatizo nyingine sio tamu kusoma
 
Asante sana kwa pongezi na Hongera sana , Kusoma vitabu 20 kwa mwaka si mchezo.
Asante sana.

Nadhani ni mipangilio tu ya mambo yako na muda wako, kwa wakazi wa Dar tunaotumia daladala kila siku kwenda kwenye majukumu yetu tunatumia zaidi ya saa moja kwenye foleni, muda huo unaweza kuutumia na kitabu vizuri tu.
Saa moja au nusu saa kabla ya muda wako wa kulala unaweza pia kujiwekea lengo walau usome kurasa 20 za kitabu kila siku muda huo, taratibu unajikuta ukifikia lengo.

Nimepunguza sana pia muda wa kutazama TV programs na series na muda ninaookoa hapo nauhamishia kwenye usomaji.
Episode moja ya series si chini ya nusu saa, kwa msomaji mzuri muda huo huo unaweza kuwa umesoma kurasa zako 20 vizuri tu.
 
Within the last six months? I am speechless but all you need now is an Oscar award.
People need to have a very high IQ to understand those books you've read. There are not for everyone. From your list , I've read only The Hitchhiker's Guide To The Galaxy, and I must admit, it's not for everyone. It requires a fairly high IQ To understand the book. I wish I NEVER read it, So I could read it again for the first time.
 
Good, I finished Think and Grow Rich last year. It made me took at life differently. One thing Hill said and I liked is " Always do more what you are paid for''.

I read also How to Win Friends......many years ago. It helped me understand the basics of how to make small talk and why eye contact is important. helped me to think about making other people comfortable instead of worrying about my own anxiety. Taught me to avoid pointless argument. and because of this book, now i know how to make people feel important.
 
Thanks for the thread, hoby yangu namba moja ni kusoma vitabu..baadhi nilivyosoma karibuni na quotes nilizopenda!

-As a man thinketh by james allen-Circumtances does not make a man, it reveals him to himself

-Essay on self reliance by Ralph Waldo Emerson- in every work of genius we see our own rejected thoughts

-Hown to win friends and influence people by Dale carnegie- kuna part anamzungmzia aliyewahi kuwa balozi wa USA Ben franklin aliyewahi kusema i will speak ill of no man but i will speak all the good i know about every body..pia anadokeza mahali Confucios aliwahi kunukuliwa akisema to know is to know nothing, hiki kitabu na recommend usome kwa kila hali!

-Meditations by Marcus aurelius- the best book to combat daily life situations based on stoic philosophy!

KHAN!
 
Thanks for all the fish, ni tittle ya fourth book ya Hitchhiker's Guide To The Galaxy na Maana yake ni kusema ''goodbye" na tittle yenyewe inasomeka "So Long and Thanks For All the Fish". Pole Malcon ni kitabu kizuri sana.

Arthur ''Reading it is unpleasantly like being drunk"

"What is so unleasant about being drunk?"

Arthur "You ask a glass of water" by Douglas Adams
Yaani kina mambo matamu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…